Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,297
- 18,053
Kuiga uozo wa Policcm ni kujichimbia kaburiCHADEMA ingeiga hata 10% ya utaratibu wa ukomo wa uongozi katika CCM, wangekuwa mbali.
Kuiga uozo wa Policcm ni kujichimbia kaburiCHADEMA ingeiga hata 10% ya utaratibu wa ukomo wa uongozi katika CCM, wangekuwa mbali.
Ukomo ulikuwepo ila mwaka 2014 Mbowe alimtumia Lissu kubaka katiba ya chademaNi kiherehere changu tu kujiuliza swali la kimsingi kabisa la demokrasia ndani ya CHADEMA. Mimi si mwanachama wa chama hiki cha upinzani lakini ndio chama rasmi kinachoongoza kambi ya upinzani bungeni.
Sasa hivi CHADEMA wamo katika mchakato wa uchaguzi ndani ya chama na kati ya vinyang'anyiro ni uchaguzi wa Mwenyekiti. Kati ya majina yanayofikiriwa ni kumrudisha tena kwa mara nyingine Freeman Mbowe.
Huu ni usultani! Huwezi kuendesha demokrasia kwa kuwa na Mwenyekiti yule yule, timu ile ile, na uongozi ule ule katika upinzani, halafu tukajidai watatetea demokrasia ya nchi. Kama CHADEMA hawawezi ndani ya chama chao kurekebisha katiba kuweka ukomo wa uenyekiti, mtu anajiuliza kwa Taifa je? Si ni yale yale?
Kimsingi kutobadilisha katiba ili kuweka ukomo wa madaraka sababu yake ni kuendeleza ulaji. Wakati CCM wamebadili wenyeviti mara kadhaa ndani ya miongo miwili, upinzani majina ni yale yale; Mbowe, Maalim Seif n.k.
Dhana ya demokrasia haionekani ndani ya vyama vya upinzani. Ni unafiki kufikiri watatetea katiba mpya kitaifa pindi wakipata madaraka.
=====
Maoni ya wachangiaji
Ni lini na ninyi mtakuwa chama dola?Kuiga uozo wa Policcm ni kujichimbia kaburi
Kama mtoa mada anavyo sema, hivi takwa la CDM ni zidumu fikra za Mbowe milele au?Mkuu naomba utofautishe matakwa ya katiba yaliyopo katika vyama tofauti vya siasa. Kila chama kina mila na desturi zake katika uendeshaji wake ili likapate kufikia malengo yake yaliyowekwa na itikadi kinayoisimami.
Huwezi kufananisha uendeshaji wa masuala ya kichama yaliyopo ndani ya vyama kwa kuingalia CCM kama role model katika mazingira ya kisiasa yaliyopo hivi sasa. TANU yenyewe katika uchanga wake kiliongozwa na Mwl. Nyerere kwa muda mrefu tu.
Kwa hiyo basi vyama hivi vilivyoanzishwa miaka ya 1990's bado vinahitaji "nurturing" kupitia viongozi wazoefu kutokana na changamoto zilizopo. Kwa hiyo basi bado CHADEMA inamuhitaji Mh. Mbowe katika nafasi hiyo ili kisiweze kuwa "derailed" na rafu za kisiasa zilizopo hivi sasa.
Nchi yenye democracy haina chama dola.Ni lini na ninyi mtakuwa chama dola?
Ni vyema mlioridhika na sultani aliyepo!Nchi yenye democracy haina chama dola.
Ni kiherehere changu tu kujiuliza swali la kimsingi kabisa la demokrasia ndani ya CHADEMA. Mimi si mwanachama wa chama hiki cha upinzani lakini ndio chama rasmi kinachoongoza kambi ya upinzani bungeni.
Sasa hivi CHADEMA wamo katika mchakato wa uchaguzi ndani ya chama na kati ya vinyang'anyiro ni uchaguzi wa Mwenyekiti. Kati ya majina yanayofikiriwa ni kumrudisha tena kwa mara nyingine Freeman Mbowe.
Huu ni usultani! Huwezi kuendesha demokrasia kwa kuwa na Mwenyekiti yule yule, timu ile ile, na uongozi ule ule katika upinzani, halafu tukajidai watatetea demokrasia ya nchi. Kama CHADEMA hawawezi ndani ya chama chao kurekebisha katiba kuweka ukomo wa uenyekiti, mtu anajiuliza kwa Taifa je? Si ni yale yale?
Kimsingi kutobadilisha katiba ili kuweka ukomo wa madaraka sababu yake ni kuendeleza ulaji. Wakati CCM wamebadili wenyeviti mara kadhaa ndani ya miongo miwili, upinzani majina ni yale yale; Mbowe, Maalim Seif n.k.
Dhana ya demokrasia haionekani ndani ya vyama vya upinzani. Ni unafiki kufikiri watatetea katiba mpya kitaifa pindi wakipata madaraka.
=====
Maoni ya wachangiaji
(MODS hapa mmeingilia uhuru wangu wa maoni. Ieleweke na wachangiajinkuwa hii quote sijai attach mimi)
CHADEMA ingeiga hata 10% ya utaratibu wa ukomo wa uongozi katika CCM, wangekuwa mbali.
Definition ya ushetani ni ya kwako na imagination yako.CHADEMA hakiwezi kuiga ushetani.
Kwanza ccm katika ngazi zote hawana kifungu kinachoweka ukomo wa uongozi katika ngazi zote.
Unataka CHADEMA kiige huo ushetani ?
True, only in Tanzania it is possible kwa CHADEMA kuwalaki left overs wa CCM.Haya maajabu yanapatikana Tanzania tu.
ccm iliyotumia kila aina ya hila na nguvu kuhakikisha Lipumba anaendelea kuwa mwenyekiti wa CUF kwa muhula wa 6 ndiyo hiyo hiyo inayotumia kila aina ya hila, nguvu na matamanio kuhakikisha Mbowe haongozi tena CHADEMA.
Wonders will never cease.
Sultan Jiwe?Ni vyema mlioridhika na sultani aliyepo!
Mkuu Jidu, kwanza kuhoji jambo lolote kuhusu uendeshaji wa Chadema, sio kiherehere, bali ni haki yako kikatiba, kisheria, kikanuni na kiutaratibu kwasababu Chadema ni public party na sio private party, kitu chochote ambacho kinalipwa by taxpayers money, ni public entity, the public has the right to know its affairs na hakina ile kinga ya the rights to privacy kwa public monies.Ni kiherehere changu tu kujiuliza swali la kimsingi kabisa la demokrasia ndani ya CHADEMA. Mimi si mwanachama wa chama hiki cha upinzani lakini ndio chama rasmi kinachoongoza kambi ya upinzani bungeni.
Huu ni usultani! Huwezi kuendesha demokrasia kwa kuwa na Mwenyekiti yule yule, timu ile ile, na uongozi ule ule katika upinzani, halafu tukajidai watatetea demokrasia ya nchi. Kama CHADEMA hawawezi ndani ya chama chao kurekebisha katiba kuweka ukomo wa uenyekiti, mtu anajiuliza kwa Taifa je? Si ni yale yale?
Hujajibu mada kiakili.
Umesema kweli mkuu.Mkuu Jidu, kwanza kuhoji jambo lolote kuhusu uendeshaji wa Chadema, sio kiherehere, bali ni haki yako kikatiba, kisheria, kikanuni na kiutaratibu kwasababu Chadema ni public party na sio private party, kitu chochote ambacho kinalipwa by taxpayers money, ni public entity, the public has the right to know its affairs na hakina ile kinga ya the rights to privacy kwa public monies.
Tena kwenye nchi za wenzetu, viongozi wote wa umma, their public and private conduct is public rights, hata akionekana tuu barabarani na mdada wa mtaani, ni disgrace to public office, Bill Clinton alitaka kufanyiwa impeachment kwa kosa la ku disgrace the oval office kwa kosa dogo tuu la kumpiga busu la mapenzi, intern Monica Lewinsky kwenye ofisi ya umma. Salama yake ni Monica Lewinsky mwenyewe ndie alimkingia kifua Clinton kwa kutoa ushahidi kuwa ni yeye Monica ndiye aliyatamani busu la Clinton na kula kiapo kuwa affair hiyo iliishia kwenye busu tuu na haukumaliziwa kwenye yale mambo!. Huku kwetu public officers paid by taxpayers money, sio tuu wanapiga mabusu watu wasio wenzi wao, bali hata kuwazalisha kabisa na kitu ambacho ni immorality lakini sis hukui kwetu ni ok kabisa, halafu watu wana preach morality!.
Hili la udikiteta Usultani wa Chadema, niliuzungumza napa
P![]()
Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
Wanabodi, Leo tena naendelea na zile Makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Topic yangu ya leo ni kutuhusu sisi Watanzania, ili tupate maendeleo ya kweli, ni lazima tujifunze kuupokea na kuubali ukweli halisi ulipo, ukweli bayana, hata huo ukweli ukiwa mchungu vipi, ukweli ni ukweli tuu, na siku...www.jamiiforums.com
Mtu kama huyu hapo juu umemjibu haswa kama ipasavyo, na wako wengi sana wenye mawazo hafifu kama huyu...Shughulikeni na makando kando ndani ya chama chenu CHADEMA si level yako!
Mwalimu aliwahi sema, mtu akifilisika kisiasa na kimawazo anaanza kuingiza ubaguzi wa kikabila na kidini!Wengi wa watetezi wa Jiwe na CCM ni Wasukuma. Jibu, Paskali and the likes.