Nadharia ya demokrasia ndani ya CHADEMA na ukomo wa kipindi cha Uenyekiti

Nadharia ya demokrasia ndani ya CHADEMA na ukomo wa kipindi cha Uenyekiti

CcCcm pamoja na kuhodhi Mali nyingi za umma,hawajawahi kujitosheleza linapokuja swala hela,Matajiri hulazimishwa kuchangia fedha za kampeni,makampuni,ufisadi kwenye mifuko ya umma na mashirika ya umma,sasa sijui huwa mnaonaaje Mbowe anaposema anakidai chama kisichokuwa na income yoyote
Kwani mwenye pesa kufadhili chama ni Mbowe peke yake?
 
Usilete porojo, Zito akiwa naibu katibu mkuu wa Chadema aliwahi kusema hata pesa iliyoanzisha gazeti la Tanzania daima ilikuwa pesa iliyotolewa msaada na Conservative Party ya Uingereza kuisaidia Chadema na Mbowe hakuwahi kukanusha tuhuma hizo. Mbowe ni jambazi mzoefu.
 
Ni kiherehere changu tu kujiuliza swali la kimsingi kabisa la demokrasia ndani ya CHADEMA. Mimi si mwanachama wa chama hiki cha upinzani lakini ndio chama rasmi kinachoongoza kambi ya upinzani bungeni.

Sasa hivi CHADEMA wamo katika mchakato wa uchaguzi ndani ya chama na kati ya vinyang'anyiro ni uchaguzi wa Mwenyekiti. Kati ya majina yanayofikiriwa ni kumrudisha tena kwa mara n.yingine Freeman Mbowe.

Huu ni usultani! Huwezi kuendesha demokrasia kwa kuwa na Mwenyekiti yule yule, timu ile ile, na uongozi ule ule katika upinzani, halafu tukajidai watatetea demokrasia ya nchi. Kama CHADEMA hawawezi ndani ya chama chao kurekebisha katiba kuweka ukomo wa uenyekiti, mtu anajiuliza kwa Taifa je? Si ni yale yale?

Kimsingi kutobadilisha katiba ili kuweka ukomo wa madaraka sababu yake ni kuendeleza ulaji. Wakati CCM wamebadili wenyeviti mara kadhaa ndani ya miongo miwili, upinzani majina ni yale yale; Mbowe, Maalim Seif n.k.

Dhana ya demokrasia haionekani ndani ya vyama vya upinzani. Ni unafiki kufikiri watatetea katiba mpya kitaifa pindi wakipata madaraka.

=====
Maoni ya wachangiaji
(MODS hapa mmeingilia uhuru wangu wa maoni. Ieleweke na wachangiajinkuwa hii quote sijai attach mimi)
Hebu niambie we democrasia unajua maana yake nini?
 
Usilete porojo, Zito akiwa naibu katibu mkuu wa Chadema aliwahi kusema hata pesa iliyoanzisha gazeti la Tanzania daima ilikuwa pesa iliyotolewa msaada na Conservative Party ya Uingereza kuisaidia Chadema na Mbowe hakuwahi kukanusha tuhuma hizo. Mbowe ni jambazi mzoefu.
Mkuu tumeshasema huko nyuma.....Mbowe wa 1980s hawezi kuwa solution ya 2020.........

Waingereza wanasema you can fool some of the people ALL the time, and you can fool all the people SOME of the times.
BUT you cannot fool ALL the people ALL thr time.
 
Hata mimi nimesema baada ya project yake ya Lowasa kushindwa alipaswa kuachia ngazi. Wanachama wangeshinikiza kwa hilo si hii habari ya ukomo. Tatizo huyu Mbowe ana mambo yanayomfanya ahofu kutoka kama haya madeni hewa anayokida chama.
Mbowe aage tu kistaarabu kulinda hisoria yake.
 
Kwa
Kwani mwenye pesa kufadhili chama ni Mbowe peke yake?
Kwani amekwambia yeye tu ndiye anayetoa hizo fedha?Kama mwenyekiti wa Chama,ana dhamana ya kukopa mahali popote kwa kutumia jina lake
 
Umesema kweli mkuu.
Nimejiita kuwa na kiherehere maana najua watu ninaoongea nao na nimewarahisishia fikra.
Na majibu yao yana jionyesha level of thinking

Mtu kama huyu hapo juu umemjibu haswa kama ipasavyo, na wako wengi sana wenye mawazo hafifu kama huyu.
Wasi wasi wangu ni kama wanaelewa uwajibikaji wao kwa umma au la.
Most think CHADEMA is a quasi-private politl party, hivyo hawajibiki kwa lolote na kwa yeyote.

Hii laissez faire ya kisiasa ndo inaleta masultani kama Mbowe na genge lake kudumu daima dumu.
I have nothing against Mbowe as a person, lakini kisiasa, uvundo wa kukosa demokrasia unanuka sana hivyo denying CHADEMA the moral authority kuongea lolote kuhusu demokrasia nchini.
Pambafffffffffffffffff wewe na kizazi chako chote...ni misukule mwenye akili ndogo tu mtaelewa..muhimu mshaurini mwenyekiti wenu aimarishe chama chenu...Mbowe ni mwenyekiti anayewanyima kunya,,,frankly mnatamani muwe na tawi la nyinyiemu ndani ya CHADEMA na imeshindikana....
 
"Mkuu" umeishia darasa la ngapi?
 
Mkuu naomba utofautishe matakwa ya katiba yaliyopo katika vyama tofauti vya siasa. Kila chama kina mila na desturi zake katika uendeshaji wake ili likapate kufikia malengo yake yaliyowekwa na itikadi kinayoisimami.

Huwezi kufananisha uendeshaji wa masuala ya kichama yaliyopo ndani ya vyama kwa kuingalia CCM kama role model katika mazingira ya kisiasa yaliyopo hivi sasa. TANU yenyewe katika uchanga wake kiliongozwa na Mwl. Nyerere kwa muda mrefu tu.

Kwa hiyo basi vyama hivi vilivyoanzishwa miaka ya 1990's bado vinahitaji "nurturing" kupitia viongozi wazoefu kutokana na changamoto zilizopo. Kwa hiyo basi bado CHADEMA inamuhitaji Mh. Mbowe katika nafasi hiyo ili kisiweze kuwa "derailed" na rafu za kisiasa zilizopo hivi sasa.

Well said mkuu na ajabu ni kuw ahawataki kusikia hayo ya TANU na hata CCM ya mwanzoni kabla 1990 Nyerere ajangatuka.
Tena kwasasa mazingira ni magumu zaidi kuliko kipindi cha mkoloni.
 
Back
Top Bottom