Nadharia ya miaka 1,000 duniani ni sawa na siku moja mbinguni si sahihi kabisa

andiko la wap hilo..enoko .eliya walibebwa
 
Naomba nikusaidie kidogo! Unachanganya vitu viwili tofauti , unachanganya Imani na uhalisia- belief na facts. Huwezi pata jibu mpaka unakufa. Jambo la Imani lichukulie kiimani na mambo ya uhalisia yachukulie kiuhalisia kwa sababu kila fani ina njia yake physics ni tofauti sana na poetry.
 
andiko la wap hilo..enoko .eliya walibebwa
Wajisumbua mkuu..imanii hii ya kukaririshwa vitabu therathini mtu akisha karirir hua habadiriki wala hafikiri.. Anasahau kua hata Mungu ni Roho..
 
Wajisumbua mkuu..imanii hii ya kukaririshwa vitabu therathini mtu akisha karirir hua habadiriki wala hafikiri.. Anasahau kua hata Mungu ni Roho..

Zero kabisa!!!!!!!
Roho ziliumbwa
Je hiyo ya Mungu kaiumba nani?
Mpaka Mungu awe Roho?
Kinacho kusumbuweni nyie manakaririshwa mapambio tu
Hamzipi ruhusa akilizenu kufikiri na kuwahoji hao wanao kukaririsheni mapambio,
 
unazariwa na vipaji vya kukabiliana na maisha ila karama za roho mtakatifu huwa zinakuja baada ya kumkiri yesu ,ndo maana hata walioishi na yesu waliambiwa wasubili atakuja maana yake petro pia hakuwa na roho mtakatifu hadi siku ya pentecoste,binadamu anauwezo mkubwa sana ila akitenda dhambi anampa shetani uwezo wa kuzuia mema yake ,roho mtakatifu akikuibgia hakupi kipaji cha kuimba hicho unacho toka kuzaliwa kwako ili kionekane aidha uuze roho yako kwa shetani au ujae roho mtakatifu kwa kuuza roho yako kwa yesu .
 
Yesu maarufu kwa vipofu na viziwi yesu ni story za kuzushwa.
 
Bibilia kitabu kidogo sana chenye kuficha wapumbavu mafunzo yake.
 
Hakuna tofauti baina ya roho na nafsi. Nafsi ni umwandani wako na umwandani wako ndiyo roho.

Hakuna kinachokufa kati ya mwili na roho isipokuwa inafanyika "farq" utengano baina ya vitu hivyo viwili. Utengano huo ndiyo unaitwa kufariki. Na roho elimu yake ya kiasi tu ni wewe. Mwili ni jumba na jumba(nyumba) huwa inachakaa. Lakini roho haichakai(uzee) inabaki vilevile.

Katika suratul Zzumar inaelezea kwamba vitakufa vilivyopo mbinguni na vilivyomo ardhini isipokuwa atakavyotaka yeye ndiyo vitakavyobaki na hivyo navyo vitakufa. Muhimu ni kuelewa suala moja! Mungu hayupo mbinguni. Isipokuwa mamlaka yake kwa viumbe vyake kayafanya yawe Mbinguni.

Vilivyopo Mbinguni ni malaika! Malaika wana roho na wana miili. Isipokuwa maada zao hatuwezi kuziona kwa macho yetu. Kisha atabaki mwenyewe bwana mkubwa tu. Ndiyo tafsiri ya alpha na omega.

Angalizo! Elimu ya roho anaijua zaidi Mungu tu.
 
Mkuu bado unaamini matakataka yaliyoandikwa kwenye kitabu cha kifala biblia?

Achana na hizo nonsense!
 
We jamaa
 
Jamaa kashindwa kabisa kuficha upumbavu wake
 
Wajisumbua mkuu..imanii hii ya kukaririshwa vitabu therathini mtu akisha karirir hua habadiriki wala hafikiri.. Anasahau kua hata Mungu ni Roho..
Ni nan kakaririshwa?? Bible ni fact zilizopo na hazitopita...kwamba unakataa enoko na eliya hawakufa??..

Wewe unadhan kuwaza nje ya biblia ndio kuweza kutumia akili yako vizur??? Biblia iko fixed ... Kama unataka kutumia akili yako vizur bila vya kukaririshwa ni bora ukawaza jins gan unaweza safiri kuzid mwanga au jins gan unaweza unda vifaa vitakavukua na manufaa...hapo utakua unatumia akili yako vizur sana
 
Kwann elimu iyo uliyonayo uliyosoma iliyoandikwa kwenye vitabu unaimani lakin maandiko huyaamini??
Naamini vitu tangible vyenye unaweza prove!

Sio story za alinacha!

Ukiambiwa kinjekitile alikuwepo kaburi lake lipo na unaweza pima DNA yake!

Ukiambiwa malaria inasababishwa na plasmodium unaweza prove maabara sio mnatuletea story za kiduwanzi eti kulikua na boti ya Nuhu iliyobeba wanyama wote duniani..

Nonsense!
 
Nadhani hiyo mbinguni iliyokua inazungumziwa enzi hizo labda ni kutoka sayari moja wapo...

Mpaka sasa kuna sayari kama 9 zilizokwisha gunduliwa ingawa wanajitahidi kugundua zile zilizo mbali zaidi...

Kadri sayari inavyokua mbali na jua ndivyo huchukua muda mrefu kulizunguka jua na kua na miaka mingi zaidi...

Siku 365.5 ambazo ni mwaka mmoja za hapa duniani ni tafuati kabisa na siku au miaka ukiwa kwenye sayari ya Pluto iliyo mbali kabisa na jua au Mercury iliyopo karibu zaidi ya jua...


Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…