Nadharia ya miaka 1,000 duniani ni sawa na siku moja mbinguni si sahihi kabisa

Nadharia ya miaka 1,000 duniani ni sawa na siku moja mbinguni si sahihi kabisa

Fact

Miaka 11 Duniani ni sawa na mwaka mmoja ukiwa "hapo" Jupiter tu.

Yaani siku 11.8 hivi hapa duniani ni sawa na siku 1 ukiwa Jupita.

Kwa spidi ya 47,051Km/hr ya Sayari hiyo kulizunguka jua. (Spidi ya dunia ni 107,000 km/h)

Hii ni kwenye mfumo wa jua hili tunaloliona kutokea hapa Duniani...

Na ni kwa Gallaxy hii tuliyomo.

Kuna Gallaxy nyingi sana...

Bottom line:-
Nakubaliana na dhana ya kwenye Biblia na Qur'an.


 
Ngoja na mimi nijaribu kuwaza kwa sauti na kuchangia;

Nadhani hiyo phrase na context zilipotumika zinazidi kuelezea na kuthibitisha "umilele" wa Mungu
Kwanza kwenye zaburi, mtunga zaburi anaomba na ku-acknowledge that things we see taking a long time to us as humans can be done in a very short time by God. Angalia anazungumzia perishing in the para. Hii ya kusema miaka elfu ni sawa na siku moja mimi nadhani mwandishi amewaza 1000 years (millenium) kuwa kipindi kikubwa cha kulinganisha na siku moja. So unaweza kujua kwa mfano kwenye zaburi hiyo hiyo anapoendelea kuzungumzia 70 to 80 years ya uhai wa binadamu ingekuwa ni miaka mingapi. Meaning to God what we think as long time is a very short moment and what we think can be done in long term (1000 years in this case) can be done in almost instant moment by God

Kwenye kitabu cha Peter, mwandishi anajaribu kuwakumbusha na kutukumbusha sisi sote kutoishi kwenye dhambi kwa vile eti Bwana aliahidi angerudi then watu wanaona amekawia so waka-assume hatarudi.
He is bringing in this concept of time to remimd them kwamba wasiweke ukomo kwa lini Bwana atarudi au wasiache kuenenda kwenye njia sahihi just because time has passed and the Lord has not come back.

Hizi phrase actually zinatuambia tusiweke ukomo kwenye existence na acting ya Mungu kwa sababu God is eternal and we should not think kwamba the action is time barred. To us ni miaka 1000 lakini kwa Mungu ni kama one day (kwamba we think wa have waited for so long, but hii inatuambia tuwe wavumilivu kwani what we think as 1000 years (too long), Mungu anaitazama kama siku moja ( very short period)
Ina make sense.. n hiki ndio nachofahamu mimi, sema wengine ndio wanachukulia kama ndio jinsi mbinguni wanavyohesabu muda
 
Mkuu umrnipa mwanga acha nirndelee kuuliza.

Kwa maandunia inazunguka jua kwa spidi kuliko ambayo jupita inalizunguka jua,au nimeelewa vobaya mkuu...?
Fact

Miaka 11 Duniani ni sawa na mwaka mmoja ukiwa "hapo" Jupiter tu.

Yaani siku 11.8 hivi hapa duniani ni sawa na siku 1 ukiwa Jupita.

Kwa spidi ya 47,051Km/hr ya Sayari hiyo kulizunguka jua. (Spidi ya dunia ni 107,000 km/h)

Hii ni kwenye mfumo wa jua hili tunaloliona kutokea hapa Duniani...

Na ni kwa Gallaxy hii tuliyomo.

Kuna Gallaxy nyingi sana...

Bottom line:-
Nakubaliana na dhana ya kwenye Biblia na Qur'an.


 
Sahihi, spidi ya dunia kulizunguka juna ni mara mbili na kidogo ya Jupita kulizunguka jua
Mkuu umrnipa mwanga acha nirndelee kuuliza.

Kwa maandunia inazunguka jua kwa spidi kuliko ambayo jupita inalizunguka jua,au nimeelewa vobaya mkuu...?
 
Sahihi, spidi ya dunia kulizunguka juna ni mara mbili na kidogo ya Jupita kulizunguka jua
Yaani kwa maana ya kwamba.

Dunia inatumia mda mwingi kulizunguka jua hivyo kufanya mzunguko uchelewe.

Wakati huo jupita inatumia mda mchache kulizunguka jua hivyo kufanya mzunguko uwahi kukamilika.

Mfano..

Juma anatumia dakika 5 kuzunguka uwanja mita 300.

Wakati huo omari anatumia sekunde 5 kuzunguka uwanja wa mita 300.

Kwa hiyo tunaweza kusema kwamba juma anazunguka uwanja muda mrefu (5dkk) wakati huo omari anazunguka uwanja muda mfupi (secs)

Hivyo ni kwamba

Dakika 5 za juma kuzunguka uwanja wa 300m ni sawa na sekunde 5 za juma kuzunguka uwanja wa 300m.

Kama nimeelewa ndo dunia na jupiter viko hivyo mkuu?

Naomba niendelee kuuliza tena..

Ili kupata siku moja hapa duniani ni kipi kinatokea yaani jua anazunguka dunia ama dunia ndo anamzunguka juaa...?
 
Unapotea

Ni hivi, hiyo ni speed tu.

Orbit ya dunia radius yake ni ndogo kuliko orbit ya Jupita (kutokea katikati ya Jua)

Hii ina maana kuwa Jupita ana umbali mrefu sana wa kulizunguka Jua kuliko Dunia.

Elewa kwanza hapo halafu uliza swali
 
Note

Wastani wa nusu kipenyo kutoka Jua hadi obit ya dunia ni kilomita 150 hivi ambapo ya jupita ni km 780 hivi
 
Unapotea

Ni hivi, hiyo ni speed tu.

Orbit ya dunia radius yake ni ndogo kuliko orbit ya Jupita (kutokea katikati ya Jua)

Hii ina maana kuwa Jupita ana umbali mrefu sana wa kulizunguka Jua kuliko Dunia.

Elewa kwanza hapo halafu uliza swali
Yes hapo nimeelewa vizuri mkuuu.
Ina maana ya kwamba dunia yupo karibu na jua kuliko jupita hivyo akizunguka anatumia mzunguko mfupi kutokana na udogo wa radius yake si ndio mkuu...?

Samahani kwa usumbufu mana nimejifunza mengi kupitia humu kwa njia hizi
 
Mkuu salute sana tuuu....
Biblia imeweka wazi kila kitu ambacho mwanadamu anakihtaj kwa ajli ya usalama wake...kama kuna maswali unajiuliza na umefanya kila jitihada lakn umekosa jibu..basi jua kabisa hilo jambo halina umuhimu wwte kwako na hata ukilijua halitakusaidia ndo mana Mwenyezi Mungu hajalitolea ufafanuzi...mbali na hayo kuna mambo mengi sana ambayo hayajulikani kwa wanadamu walio wengi...lakn sababu siyo kwamba Mungu ameyaficha ila tatizo ni uzembe wetu wa kutosoma Biblia....
Wakristo wengi wamekuwa wakihubir kuwa mwisho wa dunia umekarbia bila kujua dhana hyo inatumika katika mazingira gani..

Matokeo yake wengi wameishia kukata tamaa na kuamua kuishi maisha ya dhambi wakiamini kuwa Mungu ameiacha dunia ijiendeshe yenyewe....Ukweli ni kwamba bado takriban miaka 1000 dunia ifike mwisho wake...ufuatao ni ushahidi wa kibiblia fuatana nam
Hapa nakubaliana nawe boss kabisa
Namba saba katika Biblia
Biblia hutumia namba saba kama namba kamilifu kwa jambo fulani...mfano Mungu aliumba dunia kwa siku sita siku ya saba akapumzika Mwanzo 2:2..
Mungu pia anasema tufanye kazi kwa siku sita na siku ya saba ni ya kupumzika..Kutoka 23:12
Mifano mingine ni kama ifuatayo
Kutoka 21:2 Ukimnunua mtumwa wa Kiebrania, atakutumikia muda wa miakasita; mwaka wa saba atatoka kwako huru bure.
Kutoka 23:10-11
Utapanda mbegu katika nchi yako muda wa miaka sita na kuyavuna maongeo yake; lakini mwaka wa saba utaiacha nchi itulie na kupumzika..
Joshua 2:2-5 ...fanya hivi siku sita. Na makuhani saba watachukua tarumbetasaba
za kondoo waume, mbele ya hilo sanduku; na siku ya saba
mtauzunguka mji mara saba.

Hata ukisoma habari za naamani, safari ya saba kujichovya katika maji, ndipo akatakasika ukoma wake.
Eliya pia aliomba mara saba ili mvua inyeshe....1Wafalme 19
Kikawaida Mungu alimaanisha siku yenye mzunguko wa masaa 24 ambayo wanadamu huwa tunaitumia...Mwenyezi Mungu alidokeza pia kuwa kwake siku moja ni sawa na miaka elfu moja ya kibinadamu.. (hapa ndo kwenye kiini cha hoja hii) scenario ya namna hii huwez kuitumia popote ispokuwa kwenye unabii tena unabii mrefu sana...Kwa wataalamu wa Hesabu wanajua kuna wakati unapokokotoa swali la logarithms itakubidi kutumia concept ya exponent kupata jibu lililo sahihi..hvyo bas itatubid tutumie concept ya siku saba kama utimilifu wa jambo na badala ya kutumi siku kama siku tutumie siku=miaka 1000
Hapa pia nunga mkono hoja
ushahidi wa kibiblia unaonyesha kuwa tangu dunia kuumbwa ni takriban miaka elfu sita mpak sasa...kama mwaka mmoja ni sawa na miaka 1000 hii ina maana kuwa kwa mtazamo wa Mungu sasa ni siku ya sita na hii siku haijaisha ndo kwanza tumeianza (6017)...ili kufikia miaka 7000 bado miaka takriban 983 karbia 1000 ...so we have almost 1000 years to go and finish the game
NOPE. Hapa sikubaliani nawe, kwamba tangu dunia iumbwe ni miaka 600? kwa ushahidi upi huo, hebu niwekee hapa uwe wa kihistoria au kidini.kwani dunia ina umri gani hasa???
Yesu alibainisha kuwa kuelekea kufikia miaka elfu saba..watumishi wa kweli wa Mungu watapitia wakati mgumu sana ambao hakuna mtumishi yeyote aliyewahi kupitia tangu Dunia iumbwe na hvyo itamlazimu kufupisha siku hzo ili kuokoa wateule wachache watakaokuwa wapo hai (Mathayo 24:22..) hvyo miaka takriban elf iliyobaki inaweza ikapungua, hata hvyo bado ni miaka mamia kufikia huo mwisho
Yesu alisema kesheni mkiomba maana hamjui siku wala saa ambapo yeye atakuja kuchukua kanisa lake, lakini wewe naona hapa unaniambia kua yesu aliwambia ni miaka 7000 ndio itakua mwisho wa duniani.How? Yesu tu alitoa angalizo juu ya siku za mwisho kwa yale yatakayo kua yanatokea..But beleive me yanayotokea sasa hayajafika hata robo ya yaliyotokea kipindi cha NEPHELISM ERA. ni kweli namba saba ni namba ya ukamilifu kwa Mungu ila haithibitishi kwamba kwa hesabu za kibinaadamu miaka 7000 ndio itakua mwisho wa dunia..hakuna mwanahesabu aliyekokotoa hizo hesabu akapatia... Hata yule aliyejiita nabii (Ellen G White) alijidai kufanya hesabu zake kutabiiri mwisho wa dunia ila aliishia kuaibika
Kuzaliwa kwa Yesu kulitokea lini
Yesu alizaliwa mwaka 4000 tangu dunia kuumbwa hii inaonesha kuwa alizaliwa katkat ya miaka 7000 japo ilizidi miaka 500 hii ilichangiwa na ugumu wa Wayahudi....Pia alizaliwa katikati ya dunia yote (Middle East is the center of the earth)...tokea Yesu azaliwe ni miaka 2017 sasa...ukijumlisha na ile miaka 4000 tangu dunia iumbwe tunapata miaka 6017...ili tufikie siku ya saba au miaka elfu saba tunahtaji miaka mingine karbia elf moja...hvyo bas bado miaka mamia kadhaa kuufikia ule mwisho
Kwa hesabu zipi zinaonyesha yesu alizaliwa miaka 400 baada ya dunia kuumbwa? ni kweli ni miaka 2019 sasa toka azaliwe.Hiyo miaka yako 700 bado yanichanganya kabisa
hebu pitia huu uzi wangu labda unaweza kufahamu kwa kiasi jinsi tarehe ya kuzaliwa na kufa kwa yesu ilivyo kokotolewa
Je ni kweli hatujui siku wala saa ya kurudi mwana wa adamu au Yesu ?
Yesu alisema hakuna mtu ajuaye siku wala saa ya kuja mwana wa Adamu...hata hvyo dalili za kuja kwake ameziweka wazi..ni jambo la kuchunguza tu maana hata yeye mwenyewe alisema "Asomaye na Afahamu (Mathayo 24:15)"

Katika kumi bora ya watu maarufu wa mda wote waliowahi kuishi hapa duniani..wa nne kati yao wametoka ndani ya Biblia..huku Yesu akiwa ndo Mwanadamu maarufu zaidi kupita wote...

Yaani hapo ndio unajichanganya sasa, una uhakika hii article umeandika wewe? huko umesema kua bado miaka 900 dunia kufika mwisho na hapa unaniambia kua hakuna mtu ajuaye siku wala saa.. kama hakuna mtu ajuye siku wala saa, hio miaka 900/1000 imetoka wapi?? Fafanua!
Ni kweli Yesu ndio binaadamu maarufu zaidi kuumbwa..ukitaka kujua oradha ya watu maarufu zaidi soma uzi wangu huu
 
Mkuu umesema muda ni nini?

Kwa mujibu wa nini unaleta tafsiri ya muda..?

Tofautisha kati ya Muda na nyakati.
Tofautosha kati ya siku na muda.siku ina muda lakini muda unaweza usiwe ni siku.
Hakuna sehemu niliyotoa definition ya Muda na kama nimeweka tafsiri itakua kwa mujibu wa mimi mwenyewe ninavyoelewa kuhusu muda.

Uwe una reason mkuu sio ubishe ili kubisha tu haya.. Muda na nyakati ni kitu kimoja (Time(s) au tufanye nimekuelewa Time (muda) ni interval isiyo fahamika kati ya matukio mawili . Period(Nyakati/kipindi) ni interval inayojulikana kati ya matukio mawili AU. Time is a fundamental unit of measure wakati period ni matumizi ya muda. Ndio maana twasema period of Time.

sasa nitofautishe nini tena wakati ushatofautisha mwenyewe hapo juu
 
Hakuna sehemu niliyotoa definition ya Muda
na kama nimeweka tafsiri itakua kwa mujibu wa mimi mwenyewe ninavyoelewa kuhusu muda
Uwe una reason mkuu sio ubishe ili kubisha tu haya.. Muda na nyakati ni kitu kimoja (Time(s) au tufanye nimekuelewa
Time (muda) ni interval isiyo fahamika kati ya matukio mawili . Period(Nyakati/kipindi) ni interval inayojulikana kati ya matukio mawili AU. Time is a fundamental unit of measure wakati period ni matumizi ya muda. Ndio maana twasema period of Time.
sasa nitofautishe nini tena wakati ushatofautisha mwenyewe hapo juu
Usipanick kaka,au unataka tusihoji mkuu kuwa mpole basi au unanitisha nisirudi tena Mkuu..?
 
Hakuna sehemu niliyotoa definition ya Muda
na kama nimeweka tafsiri itakua kwa mujibu wa mimi mwenyewe ninavyoelewa kuhusu muda
Uwe una reason mkuu sio ubishe ili kubisha tu haya.. Muda na nyakati ni kitu kimoja (Time(s) au tufanye nimekuelewa
Time (muda) ni interval isiyo fahamika kati ya matukio mawili . Period(Nyakati/kipindi) ni interval inayojulikana kati ya matukio mawili AU. Time is a fundamental unit of measure wakati period ni matumizi ya muda. Ndio maana twasema period of Time.
sasa nitofautishe nini tena wakati ushatofautisha mwenyewe hapo juu
Ili iwe siku moja hapa duniani tunaipataje hiyo siku?

Yani tunaipata siku kupitia nini ?
 
Back
Top Bottom