MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,701
- 71,056
Mkuu kwani tiss hawana njaa, hata wao huwa wanavuta hela ili maisha yaendeKufeli kwa mradi mkubwa wa DART ni kielelezo tosha kuwa TISS hawafanyi kazi ipasavyo. Tumewahi kuambiwa kuwa kipindi cha ikitokea mtu ana mpango wa kupiga dili chafu, basi atapigiwa simu na ikulu hata kabla hajatekeleza mpango wake wakati kila kitu alifanya mafichoni.
Hivi TISS walikuwa wapi wakati watu wanavunja mkataba na Maximalipo ili waibe na kuhujumu mradi huu unaogharimu pesa za walipa kodi wa tz. TISS walishindwa kabisa kubaini hujuma zinazoendelea DART?