Unataka TISS ifanye kazi kwa stle ya zama za Nyerere?Takukuru wanafanya nini?Kufeli kwa mradi mkubwa wa DART ni kielelezo tosha kuwa TISS hawafanyi kazi ipasavyo. Tumewahi kuambiwa kuwa kipindi cha utawala wa Mwalimu ikitokea mtu ana mpango wa kupiga dili chafu, basi atapigiwa simu na ikulu hata kabla hajatekeleza mpango wake wakati kila kitu alifanya mafichoni.
Hebu nitajie kwanza kirefu cha TISS na majukumu yake