Unataka TISS ifanye kazi kwa stle ya zama za Nyerere?Takukuru wanafanya nini?Kufeli kwa mradi mkubwa wa DART ni kielelezo tosha kuwa TISS hawafanyi kazi ipasavyo. Tumewahi kuambiwa kuwa kipindi cha utawala wa Mwalimu ikitokea mtu ana mpango wa kupiga dili chafu, basi atapigiwa simu na ikulu hata kabla hajatekeleza mpango wake wakati kila kitu alifanya mafichoni.
TISS ni usalama wa taifa, usalama ktk nyanja za kiuchumi, kisiasa, na kijamii.TISS wanahusikaje kwenye udart,watu wameshindwa kuendesha mradi then mnawasingizia TISS how.udart wapambane na hali zao.
Tanzania intelligence security services.Unataka TISS ifanye kazi kwa stle ya zama za Nyerere?Takukuru wanafanya nini?
Hebu nitajie kwanza kirefu cha TISS na majukumu yake
Hata kwa wakuu wa Taasisi Tiss zamani walikuwa wakifanya vetting ya hali ya juu lkn sio siku hizi tena. Ndio maana hata miradi kama DART wasimamizi sio makini kabisa.
Bring back our MO!Kufeli kwa mradi mkubwa wa DART ni kielelezo tosha kuwa TISS hawafanyi kazi ipasavyo. Tumewahi kuambiwa kuwa kipindi cha utawala wa Mwalimu ikitokea mtu ana mpango wa kupiga dili chafu, basi atapigiwa simu na ikulu hata kabla hajatekeleza mpango wake wakati kila kitu alifanya mafichoni.
Hivi TISS walikuwa wapi wakati watu wanavunja mkataba na Maximalipo ili waibe na kuhujumu mradi huu unaogharimu pesa za walipa kodi wa tz. TISS walishindwa kabisa kubaini hujuma zinazoendelea DART?
lini ulisikia Sultani mbowe anatafutwa na TISS au umekosa hoja unajiondoa kwenye reli?Tanzania intelligence security services.
Yaani kazi yao ni kulala na kukesha kutafuta Mbowe na Halima mdee wamelala wapi?? Hii ndio kazi yao??
Wananjaa hao, acha kabisa.Mkuu kwani tiss hawana njaa, hata wao huwa wanavuta hela ili maisha yaende
Wakati wa max malipo sijawahi pata siti ya mwendokasi
Hahhaaaaa unajificha wapi mkuu.lini ulisikia Sultani mbowe anatafutwa na TISS au umekosa hoja unajiondoa kwenye reli?
Acha kuwasingizia TISS, CHADEMA ndio wanaohujumu DART.Kufeli kwa mradi mkubwa wa DART ni kielelezo tosha kuwa TISS hawafanyi kazi ipasavyo. Tumewahi kuambiwa kuwa kipindi cha utawala wa Mwalimu ikitokea mtu ana mpango wa kupiga dili chafu, basi atapigiwa simu na ikulu hata kabla hajatekeleza mpango wake wakati kila kitu alifanya mafichoni.
Hivi TISS walikuwa wapi wakati watu wanavunja mkataba na Maximalipo ili waibe na kuhujumu mradi huu unaogharimu pesa za walipa kodi wa tz. TISS walishindwa kabisa kubaini hujuma zinazoendelea DART?
Maxmalipo ndio walikuwa wanahusika kutoa siti?Wakati wa max malipo sijawahi pata siti ya mwendokasi
kupata vichekesho kama hivi piga "15557" ikifatiwa na neno "vituko vya limumba"Acha kuwasingizia TISS, CHADEMA ndio wanaohujumu DART.
Kwa kweli inaumiza sana wamepewa dhamana kubwa kuhakikisha watazania hawahujumiwi lakini hawatimizi majukumu yao ipasavyo.Kufeli kwa mradi mkubwa wa DART ni kielelezo tosha kuwa TISS hawafanyi kazi ipasavyo. Tumewahi kuambiwa kuwa kipindi cha utawala wa Mwalimu ikitokea mtu ana mpango wa kupiga dili chafu, basi atapigiwa simu na ikulu hata kabla hajatekeleza mpango wake wakati kila kitu alifanya mafichoni.
Hivi TISS walikuwa wapi wakati watu wanavunja mkataba na Maximalipo ili waibe na kuhujumu mradi huu unaogharimu pesa za walipa kodi wa tz. TISS walishindwa kabisa kubaini hujuma zinazoendelea DART?
JIWE mwenyewe na wafuasi wake( waunga mkono juhudi) wanazipiga wao ndio walale njaa??kiukweli kuna watu wanaroho ngumu kutokana na initiative za mhe raisi lakini bado watu wanataka kufisidi pesa za umma...waiopiga pesa waagize ntakuja lipia popote walipo