Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Ndoto za mafanikio, ajira, kipato na tamaa za kumiliki mali kwa njia za mkato vimewaponza wengi sana duniani
Vimewaponza kwa kupoteza maisha
Vimewaponza kwa kupata majeraha na makovu ya kudumu
Vimewaponza kwa kupata ulemavu wa kudumu
Vimewaponza kwa kupata kesi mbalimbali zikiwemo za mauaji nknk
Mwanzoni unapoingia kwenye mfumo wao kila kitu huonekana rahisi salama na malipo ni mazuri sana.. Na kwakuwa hujui vema
unajiapiza kuwa utapiga mishindo yako kadhaa kisha utaachana nao!
Lakini wengi wasichokijua ni kwamba hakuna pesa inayotosha! Nikimnukuu mfalme wa Pop duniani marehemu Michael Jackson aliwahi kusemaDont stop till you get enough! Sasa enough (toshelezi) ni bei gani? Lakini bado pia akasema let sky be your limit! Sasa ukomo wa anga ni upi? Jibu ni hakuna!
Kwahiyo kadiri unavyopata ndio unavyotamani kupata zaidi.. Hasa ukikimbuka ufukara na changamoto za kuwa fukara ulizopitia utatamani upate zaidi na zaidi
Ni kwenye mchakato huo wa kupata zaidi unajikuta umeingia kwenye mfumo wao mazima na kuja kugundua siri ambayo hukuambiwa kabla kwamba once umeingia kitakachokutoa ni kifo tuu kwakuwa utakuwa umeshajua na kufahamu siri nyingi hivyo ukitoka utaropoka!
Kufikia hapo ndio linakujia jinamizi la kutisha sana kwamba wewe tayari ni mateka uliyefungwa kwenye gereza lisiloonekana! Pesa unapata ndio lakini huna namna ya kujitoa.. Kwakuwa kujitoa kuna maana moja tuu KIFO CHA MATESO
Kuna viongozi wengi duniani wamejikuta ni mateka wa mifumo waliyoingizwa bila kujua .. Kwenye riwaya ya NICK CARTER iitwayo Slave Master imefafanua vizuri sana kuhusu hili