Pablo alikuwa akili kubwa lakini aliwaingiza wengi kwenye mfumo wake na waliozingua walipata stahiki yaoKatika Kitabu The Accountant kilichoandikwa na mdogo wake Pablo Escobar kama wasifu wa ndugu yake.
Nilijifunza njia ya kutafuta pesa na malengo baada ya kupata pesa ni vitu tofauti.
Pablo alitumia Nyeupe kama silaha dhidi ya US, alitoa scholarship kwa maskini, alipambana na magenge ya wahuni, msaada ya kiutu,n.k
Tahadhari : Sumu haionjwi.
Ndio hawa hawa Freenason?Kufikia hapo ndio linakujia jinamizi la kutisha sana kwamba wewe tayari ni mateka uliyefungwa kwenye gereza lisiloonekana! Pesa unapata ndio lakini huna namna ya kujitoa.. Kwakuwa kujitoa kuna maana moja tuu KIFO CHA MATESO
inatisha sana naona.Kwenye hiyo dunia ni kheri ufe maramoja kuliko wakutese hadi kufa