Naelekea DAR jiji la wala chips, ukwaju, urojo na bia Lite

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Naelekea Jiji la DAR japo ndipo nilipozaliwa na nilipokulia naenda kukutana na vituko vya mji na purukushani za hapa na pale.

Dar kila mtu ni kujiona kafanikiwa japo unakufa na tai shingoni muda unakwenda.

Mtu yeyote kutoka mkoani akija Dar anaona kafika Ulaya ila wakumbuke walio Dar nao wanataka kufika Ulaya yaani kinyume chake.

Jiji la Dar ni joto kwa sababu kila kifaa kinatoa joto haijalishi ni simu mpaka jiko.

Dar kila mtu ni msomi ndio maana chuo kikuu cha wajinga kipo huku ila sijataja kipo wapi!

Dar kuna kila aina ya vituko na asilimia kubwa hapa JF wapo humu kama hii JF ingekuwa mkoani ingepata watu wa mkoani.

Dar kila mtu katoboa ukiuliza nguo hipi au puto lipi anabaki maelezo mengi.

Dar wanajua kujibana ila wanajua kujiachia walicho kibana.

Mtoto wa uswasi aka panya buku wa kijijini
5DED4D24-849B-4E9F-BD51-325228C83F26.jpg
 
Naelekea jiji DAR japo ndipo nilipo zaliwa na nilipokulia naenda kukutana na vituko vya mji na purukushani za hapa na pale.

dar kila mtu ni kujiona kafanikiwa japo unakufa na tai shingoni mda unakwenda.

mtu yoyote toka mkoani akija dar anaona kafika ulaya ila wakumbuke walio dar nao wanataka kufika ulaya yani kinyume chake.

jiji la dar ni joto kwa sababu kila kifaa kinatoa joto ijalishi ni simu mpaka jiko.

dar kila mtu ni msomi ndio maana chuo kikuu cha wajinga kipo huku ila sijataja kipo wapi !

dar kuna kila aina ya vituko na asilimia kubwa hapa JF wapo humu kama hii JF ingekuwa mkoani ingepata watu wa mkoani.

dar kila mtu katoboa ukiuliza nguo hipi au puto lipi anabaki maelezo mengi.

dar wanajua kujibana ila wanajua kujiachia walicho kibana.

mtoto wa uswasi aka panya buku wa kijijiniView attachment 2242955
Usiache kusema pia panyaroad mtarajiwa wa mjini🏃
 
Naelekea jiji DAR japo ndipo nilipo zaliwa na nilipokulia naenda kukutana na vituko vya mji na purukushani za hapa na pale.

Dar kila mtu ni kujiona kafanikiwa japo unakufa na tai shingoni mda unakwenda.

Mtu yoyote toka mkoani akija Dar anaona kafika ulaya ila wakumbuke walio dar nao wanataka kufika ulaya yani kinyume chake.

Jiji la Dar ni joto kwa sababu kila kifaa kinatoa joto ijalishi ni simu mpaka jiko.

Dar kila mtu ni msomi ndio maana chuo kikuu cha wajinga kipo huku ila sijataja kipo wapi !

Dar kuna kila aina ya vituko na asilimia kubwa hapa JF wapo humu kama hii JF ingekuwa mkoani ingepata watu wa mkoani.

Dar kila mtu katoboa ukiuliza nguo hipi au puto lipi anabaki maelezo mengi.

Dar wanajua kujibana ila wanajua kujiachia walicho kibana.

Mtoto wa uswasi aka panya buku wa kijijiniView attachment 2242955

Ni Kama unaitamani vile
 
Unaenda kwa MATAPELI

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Acha maneno karibu njoo tabata tupate live band.. Uone watoto walivyo wakali

njoo kanda ya ziwa ujionee uzuri wa nchi mpaka yanga wachezaji kutoroka kambini
 
Natamani ningekuwepo nikukaribishe na mikwara ya watoto wa keko ati ana ndugu mara ni afisa usalama , mara kuna nyumba ya urithi ikiuzwa atakuwa si mwenzetu , yaani vurugu tupu,kila la kheri ndugu yangu kuwa makini na panya road.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom