chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Naelekea Jiji la DAR japo ndipo nilipozaliwa na nilipokulia naenda kukutana na vituko vya mji na purukushani za hapa na pale.
Dar kila mtu ni kujiona kafanikiwa japo unakufa na tai shingoni muda unakwenda.
Mtu yeyote kutoka mkoani akija Dar anaona kafika Ulaya ila wakumbuke walio Dar nao wanataka kufika Ulaya yaani kinyume chake.
Jiji la Dar ni joto kwa sababu kila kifaa kinatoa joto haijalishi ni simu mpaka jiko.
Dar kila mtu ni msomi ndio maana chuo kikuu cha wajinga kipo huku ila sijataja kipo wapi!
Dar kuna kila aina ya vituko na asilimia kubwa hapa JF wapo humu kama hii JF ingekuwa mkoani ingepata watu wa mkoani.
Dar kila mtu katoboa ukiuliza nguo hipi au puto lipi anabaki maelezo mengi.
Dar wanajua kujibana ila wanajua kujiachia walicho kibana.
Mtoto wa uswasi aka panya buku wa kijijini