Naelekea kuzama penzini

Achana na warembo hawana mana,
Kama kupiga na kusepa sawa!! Km wife tafuta muonekano hafifu kidogo 😂😂
 
Kumbuka una mke tayar hiyo ni picha kama picha zingne tunza familia yako acha shetani akupitee
 
Huo utani wenu wakitoto katika maofisi wengine mnauchukua na kuufanya kana kwamba ni reality. Sijaelewa nikwanini, ila utani unabaki kuwa utani tu ila watu wazima kuufanya mambo ya utani kuwa ndio mmetongozana basi watu tulioajiriwa kipindi hiki bado tuwadogo hatujakuwa bado. Unataka kuuchukua utani na kuufanyia kazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mnazingua sana. Ngoja tuone kama hizi ndoa za kipindi hiki zitadumu kama utani tu mnauendekeza nakuwa reality.
 
Hehehe!!! Aloooo
 

Kizazi cha Serelaki na Elactojen
 
Anataka kumuambikiza nin huyo sipati jibu kabisa.
Ngoja madaktari waje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…