Naelekea kuzama penzini

Naelekea kuzama penzini

Wadau, habari zenu.

Ni mtumishi serikalini. Ofisini kwetu kuna mrembo mmoja (nikisema mrembo, ninamaanisha mrembo). Huyu dada kwa takribani miaka 4 tuliyohudumu nae hapa kazini, amekuwa akipa heshima ya kaka na mimi nikimuona kama dada yangu mdogo.

Sasa kisanga kikaanza. Siku moja tukiwa kikaoni, ndani ya kikao nikawa nachati na mtu mwingine. Huyo dada akaniandikia katika kikaratasi, "usichati. Napata wivu". Na imekuwa ni kama ada, akisikia tu simu yangu inaita, lazima aje aangalie ni nani anapiga na ni nani naongea nae. Lakini pia, weekend amekuwa akiniomba kama nina nafasi, basi nimtoe outing.

Nina mke na yeye ni mke wa mtu. Nafanyaje?
Tukushauri nini sasa sisi?! Haya uwe unatembea na mafuta/kilainishi usije kupata maumivu siku ya tendo la likatiri..
255624176250_status_273393a4ec884f819199aaa137325c62.jpg
 
Mke mtu simu,,,,but anyway control your emotional itakusaidia sana
 
Wadau, habari zenu.

Ni mtumishi serikalini. Ofisini kwetu kuna mrembo mmoja (nikisema mrembo, ninamaanisha mrembo). Huyu dada kwa takribani miaka 4 tuliyohudumu nae hapa kazini, amekuwa akipa heshima ya kaka na mimi nikimuona kama dada yangu mdogo.

Sasa kisanga kikaanza, siku moja tukiwa kikaoni, ndani ya kikao nikawa nachati na mtu mwingine. Huyo dada akaniandikia katika kikaratasi, "usichati. Napata wivu". Na imekuwa ni kama ada, akisikia tu simu yangu inaita, lazima aje aangalie ni nani anapiga na ni nani naongea nae. Lakini pia, weekend amekuwa akiniomba kama nina nafasi, basi nimtoe outing.

Nina mke na yeye ni mke wa mtu. Nafanyaje?
Mtego huo mzee, usijae kwenye mtego wa kifala.
 
Kua na mke sio tatiz, swal ni je unamtaka au humtak, kam unamtak chukua mtot, toa out, zagamua,

kam humtak mwambie we ni kaka ake.
 
Back
Top Bottom