Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Ndugu zangu tumsifu Yesu Kristo. Kesho naenda Shinyanga mjini Kwa wenyeji mnipokee lakini pia sehemu za kulala nzuri zilizostaarabika na Yale mambo yetu ya Hawa mama zetu.
Lakini pia napenda sana kula kitimoto naombeni sehemu ambayo wanauza kitimoto nzuri Safi isiyo na mafuta kama moshi Kwa mlay vile.
Lakini pia napenda sana kula kitimoto naombeni sehemu ambayo wanauza kitimoto nzuri Safi isiyo na mafuta kama moshi Kwa mlay vile.