Naelekea Shinyanga mjini kesho, naombeni sehemu ya bata na watoto wazuri

Naelekea Shinyanga mjini kesho, naombeni sehemu ya bata na watoto wazuri

Nenda hapo taifa road wapo wa kujipanga barabarani unaopoa kwa sh 2000 -3000 tu. Shy town mji mzuri kama una pesa ya kutumia. Lodge nzuri safi kwa sh 10000-15000 per day.
Mm nimelala Liga Hotel chumba kizuri tu Kwa elfu arobaini (40,000)
 
Ndugu zangu tumsifu Yesu Kristo. Kesho naenda Shinyanga mjini Kwa wenyeji mnipokee lakini pia sehemu za kulala nzuri zilizostaarabika na Yale mambo yetu ya Hawa mama zetu.

Lakini pia napenda sana kula kitimoto naombeni sehemu ambayo wanauza kitimoto nzuri Safi isiyo na mafuta kama moshi Kwa mlay vile. View attachment 2427444

Umependeeza sana kwenye picha hapo 😅
 
Back
Top Bottom