Naelekea Shinyanga mjini kesho, naombeni sehemu ya bata na watoto wazuri

Nilipita huko miaka kadhaa na Kuambiwa nisitie Demu yoyote kwani 85% yao ( Warembo ) Kiuhalisia walikuwa si Wazima tena Kiafya kutokana na Mazingira ya Kiuchumi ya huo Mkoa Ila sijajua kwa sasa. Bon Voyage huko.
 
Asante Kwa tahadhari labda ni kwasababu huo mkoa umezungukwa na machimbo ya madini
 
Kitimito na Bia

1. Addonvila (The Giant)
2. Lubaga IN
3.Tanganyika
4.Mhela
5. Fortune

Ibada.

Kanisa la mama mwenye Huruma Ngokolo.
 
Mama mfuko uko vizuri
Tembelea
Vigimark Hotel. S
ATA Safari Lodge - Shinyanga.
Karena Hotel.
Simej Hotel.
ATA Safari Lodge Shinyanga.
Liga Hotel CO. Ltd.
Karena Hotel kwa hisani ya Google
 
Nenda hapo taifa road wapo wa kujipanga barabarani unaopoa kwa sh 2000 -3000 tu. Shy town mji mzuri kama una pesa ya kutumia. Lodge nzuri safi kwa sh 10000-15000 per day.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…