OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Hata daktari wa binadamu anaweza kuua mchawi endapo ataamua kutumia vibaya maarifa yake mfano unapressure ya kupanda akaamua kwa makusudi kukupa dawa za kuongeza kasi ya mapigo ya moyoBaada ya field work ya kwenda kujifunza kuloga na kuua katika semista ya tatu mwaka wa 7, usirudi hapa tena na kusema ni uchawi wenye faida.
kumbe kuna chuo
Sheria ya serikali hairuhusu kafara ya binadamu na ramli chonganishiKafaraaa kwa wazee watotp wako ma mkeoo....tunasubiriii
Angalia usitolewe kafara hukoNatarajia kuhamishia shughuli zangu za kiuchumi mjini bariadi.
Hii ni fursa kwangu kupata elimu adimu ya mambo ya kiroho pia ni sehemu ya utafiti wangu binafsi
Nitaleta mrejesho.
Hayo majina ya mitume na manabii hayajaja hivi hivi ni mpaka uwe konkiHuko kuna black magic na sio white magic wenye faida ni white magic ambao wanatumia mitume na manabii wengi wenye majina makubwa kwa sasa
Pesa yako tuHayo majina ya mitume na manabii hayajaja hivi hivi ni mpaka uwe konki
Ndumba kiwango cha SGR manake kujaza watu milioni moja Tsnganyika peakers sio mchezoPesa yako tu
Ukimtumikia mungu dunia hii kwa uaminifu nae hakuachiNdumba kiwango cha SGR manake kujaza watu milioni moja Tsnganyika peakers sio mchezo
Ukiwa masikini anakuachaUkimtumikia mungu dunia hii kwa uaminifu nae hakuachi
Umasikini ni laana kwann uwe masikini.Ukiwa masikini anakuacha
By antony lusekelo quote
Kamuulize Lusekelo mkuuUmasikini ni laana kwann uwe masikini.
Ukimtumikia MUNGU unakuaje masikini