Naenda bariadi kusomea degree ya uchawi wenye faida nitaleta mrejesho mwaka 2026 mwezi wa kwanza

Naenda bariadi kusomea degree ya uchawi wenye faida nitaleta mrejesho mwaka 2026 mwezi wa kwanza

Njoo huku Sumbawanga ukabidhiwe radi kwa bei nafuu kabisa.
Radi hata mtoto mdogo, anakutengenezea Sumbawanga. Kama anataka aanzie huko. Asitoke Bariadi na uchawi wake akaenda Sumbawanga. Watammaliza.
 
Kwa hiyo tujiandae kupigwa makombora

Ova
 
Hata daktari wa binadamu anaweza kuua mchawi endapo ataamua kutumia vibaya maarifa yake mfano unapressure ya kupanda akaamua kwa makusudi kukupa dawa za kuongeza kasi ya mapigo ya moyo

Uchawi ni akili ya mtu jinsi inavyomtuma atumie vibaya kipawa alichonacho.

Hata yesu angeamua kutumia vibaya nguvu yake akaua au kujeruhi watu angeitwa mchawi.

Uchawi ni matumizi mabaya ya maarifa na kipawa

Knowledge is power

Usipende kupima vitu usivyoviweza unajiweka kwenye wakati mbaya usije Kupotea huko kwa wakuu wa giza
 
Natarajia kuhamishia shughuli zangu za kiuchumi mjini bariadi.

Hii ni fursa kwangu kupata elimu adimu ya mambo ya kiroho pia ni sehemu ya utafiti wangu binafsi

Nitaleta mrejesho.
unganza kuleta mrejesho kidogokidogo kabla haujawa msukule
 
Natarajia kuhamishia shughuli zangu za kiuchumi mjini bariadi.

Hii ni fursa kwangu kupata elimu adimu ya mambo ya kiroho pia ni sehemu ya utafiti wangu binafsi

Nitaleta mrejesho.
Na walaalniwe miiele wote wanaofundisha au kusomea uchawi. Walaaniwe milele katika Jina la Yesu
 
Back
Top Bottom