Naenda bariadi kusomea degree ya uchawi wenye faida nitaleta mrejesho mwaka 2026 mwezi wa kwanza

Njoo huku Sumbawanga ukabidhiwe radi kwa bei nafuu kabisa.
Radi hata mtoto mdogo, anakutengenezea Sumbawanga. Kama anataka aanzie huko. Asitoke Bariadi na uchawi wake akaenda Sumbawanga. Watammaliza.
 
Kwa hiyo tujiandae kupigwa makombora

Ova
 

Usipende kupima vitu usivyoviweza unajiweka kwenye wakati mbaya usije Kupotea huko kwa wakuu wa giza
 
Natarajia kuhamishia shughuli zangu za kiuchumi mjini bariadi.

Hii ni fursa kwangu kupata elimu adimu ya mambo ya kiroho pia ni sehemu ya utafiti wangu binafsi

Nitaleta mrejesho.
unganza kuleta mrejesho kidogokidogo kabla haujawa msukule
 
Natarajia kuhamishia shughuli zangu za kiuchumi mjini bariadi.

Hii ni fursa kwangu kupata elimu adimu ya mambo ya kiroho pia ni sehemu ya utafiti wangu binafsi

Nitaleta mrejesho.
Na walaalniwe miiele wote wanaofundisha au kusomea uchawi. Walaaniwe milele katika Jina la Yesu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…