Naenda Kusema Kwa Mama!

Naenda Kusema Kwa Mama!

umenikumbusha kijijini
ilikuwa tunasubiri hadi walale
kule wanamme wanakaa usiku wamekoka moto wanaota.

Basi nilikaa nimesubiri wazee wakalale nimgongee binti.
Nikawa nimejilaza kwenye jiwe kubwa
hadi nikapitiwa usingizi
nikaja kuamshwa na maji kama umande unanidondokea

ahamadi, nilipoamka kumbe ni fisi alikuwa ananichunguza kama nimekufa ale mzoga
nilikimbia nikawavamia walokuwa wanaota moto
baskeli yangu ilibidi ilale kichakani nilipokuwa nimepaki.

Dah, ujana maji ya moto.
.
Dah! Huu uzi ungeanzishwa kivyake
 
He he he he he, una uhakika?????

Kongosho usijutie wewe kuumbwa mwanamke, ni maumbile tu na huna la kufanya kujibadili uwe mwanaume. Ikubali hiyo hali yako ya kuumbwa mwanamke ili uwe na amani moyoni na akilini mwako.
 
Back
Top Bottom