Nafahamu kwamba Mahari ni Mila na Desturi za Makabila Mengi, Lakini Binafsi Naona si Sawa

Nafahamu kwamba Mahari ni Mila na Desturi za Makabila Mengi, Lakini Binafsi Naona si Sawa

Kashai

Member
Joined
May 12, 2024
Posts
95
Reaction score
282
Wakuu, Hope Mko Poa....
Nafahamu kwamba Mahari ni Mila na Desturi za Makabila Mengi, Lakini Binafsi Naona si Sawa, Kitendo cha kutoa Pesa Ni kama Namnunua Hivii....

Vilevile Naonaga hili Linachangia Sana Wanawake kunyanyasika Kwenye Ndoa Zao, Ndo ile Unakuta Mtu Anaambulia Vipigo, Manyanyaso kwa kuwa tuu Alitolewa Mahari.

Pia Hili Limechangia Sana Ongezeko La Singo Maza, Mfano Pale Mtaani Kwetu kiwalani Singo Maza ni wengi Sana, Vijana wakiambiwa watoe Mahari Wanasema Hawana Hela Mwisho Wa Siku Binti Anazalia Nyumbani.

Sasaa Wakuu Je, Mnaona Hili Suala Lipo Sawa !?

Karibuni Tujadili....
 
Kutokana na hali za ndoa za sasa zilivyo, suala la mahari linaenda kupoteza umuhimu wake. Ni bora watu wakachukuana bila kutoa mahari maana inaonekana ni utapeli na hasara kwa mtoaji. Watu hawadumu kwenye ndoa na wengine akishatoa mahari anaona kamaliza kila kitu juu ya mwanamke aliyemtolea mahari, hataki mama wa watu awe huru ni ubabe kwa kwenda mbele na wivu mkubwa balaa. Hawa wanaotoa mahari ndio wauaji wakubwa wa wake zao, akisikia mke wake kanyanduliwa nje wivu unamjaa hatari mpaka anaua mtoto wa watu. Demu kama hujamtolea mahari wivu wa kimapenzi hupungua
 
Wakuu, Hope Mko Poa....
Nafahamu kwamba Mahari ni Mila na Desturi za Makabila Mengi, Lakini Binafsi Naona si Sawa, Kitendo cha kutoa Pesa Ni kama Namnunua Hivii....

Vilevile Naonaga hili Linachangia Sana Wanawake kunyanyasika Kwenye Ndoa Zao, Ndo ile Unakuta Mtu Anaambulia Vipigo, Manyanyaso kwa kuwa tuu Alitolewa Mahari.

Pia Hili Limechangia Sana Ongezeko La Singo Maza, Mfano Pale Mtaani Kwetu kiwalani Singo Maza ni wengi Sana, Vijana wakiambiwa watoe Mahari Wanasema Hawana Hela Mwisho Wa Siku Binti Anazalia Nyumbani.

Sasaa Wakuu Je, Mnaona Hili Suala Lipo Sawa !?

Karibuni Tujadili....
Ile mahari si pesa ya kumnunua mtu hata , ile pesa ni shukrani na kupewa kibali na baraka kutoka kwa familia au ukoo wa huyo mwanamke .
Mm nimepokea hela nyingi za watu mbalimbali kwenye ukoo wetu waliotolewa posa hata kama huko mbali pesa hiyo inatumwa .
Hivyo vijana jitaidini kujua mambo namna yanavyokwenda na mjielimishe ukisasa usiwafunike mkafanya tuanze project za family reunion back to the root.
 
Back
Top Bottom