Nafanya biashara ya Miamala. Naombeni ushauri wenu

Hivyo unapotea mkuu biashara hii inahitajika Kila siku unapofunga ofisi ujue cash na Salio lipo ngapi na ulinganishe na mtaji wako.
 
Unaibiwa hiyo pesa.
Chakufanya chukua hesabu ya pesa yako yote uliyonayo (cash na ile iliyoko kwenye simu). Kila siku. Asubuhi ukifungua na jioni ukifunga.
Andika pesa unayoichukua Au madeni kama yapo. Utapata majibu haraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…