pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 10,913
- 13,876
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Biashara gani mkuu nikuigeMbona mi nipo serikalini na Nina biashara na inasonga sasa.
ilianza na mtaji wa mil 6 sasa ina mil 20 na inaendelekea kukua.
#YNWA
Biashara gani mkuu nikuige
Hivyo unapotea mkuu biashara hii inahitajika Kila siku unapofunga ofisi ujue cash na Salio lipo ngapi na ulinganishe na mtaji wako.Huwa sifungi huwa naangalia kamishen ya kila mwezi na kuwaelekeza vijana wanote hiyo ktk kitabu. mfano.
1. September kamishen 20,000/=
2. October 21,000/=
3. Novemba 21,500/=
kisha najumlisha na lile salio langu nililowekeza najua kiasi kinachoongezeka
Nina mtaji wa 8m naomba nijulishe hiyo biashara, mana niko dilema hapa mwaka huu nitoboeMbona mi nipo serikalini na Nina biashara na inasonga sasa.
ilianza na mtaji wa mil 6 sasa ina mil 20 na inaendelekea kukua.
#YNWA
Nina mtaji wa 8m naomba nijulishe hiyo biashara, mana niko dilema hapa mwaka huu nitoboe