25000q
JF-Expert Member
- Dec 27, 2022
- 4,805
- 3,762
huyu mtaji kaupata bule au ni mtumishi kachukua mkopo wako hivio hawaUpo serious na biashara kweli wewe...???? Anyway endelea kuugulia shingoni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyu mtaji kaupata bule au ni mtumishi kachukua mkopo wako hivio hawaUpo serious na biashara kweli wewe...???? Anyway endelea kuugulia shingoni.
Ahsante Sana Mkuu, kwa ushauri Allah akuongezee zaidi.Ushauri wa faida
kwa mtaji wa sh ngapi? huyu tatizo lake usimamizi ni mdogo pia inawezekana hiyo biashara gaiko senta nzuliNimeanza biashara ya miamala mwezi wa 9 na commission ya kwanza kwa mitandao yote mi4 (Tigo, Voda, halotel, na Airtel) ilikua 21 ila mwezi wa 12 nimeingiza commission ya 310,000 kwa mitandao yote mi4.
Usimvunje moyo, MWANZO MGUMU.
#YNWA
Ni Mfanyakazi tu.huyu muizi ni mfanyakazi au mtoto au ndugu wa karibu?
Muondoe harakaNiliyembaini ananidokolea nimuondoe au nikae nae chini ili kumjenga na kuendelea kumtumia? mwenye uzoefu na hili wandugu.
huyu atakuwa mtumishi wa serikali mtaji kakopa au kipga rushwa atakuwaje na uchungu nayoMkuu hii biashara ni yako kweli? Mbona kama huna uchungu nayo? Mtu kakuibia na umejua unasema kabisa hujamuuliza na unaugulia? Unalea vitu vya kijinga sana
biashara yote ina msimu wakeInategemea na sehemu alipo, mimi December nimepiga 400, 000 kwa tigopesa pekeake. Hapo bado voda, Artel na Halotel. Ubaya wa hizi biashara miezi haifanani
wabongo tunafeli kwenye usimamizi hata serikalini wako hivio uvivu sana kuridhika stareheHao vijana ulio waajiri ndiyo wanakupiga. Na ukiweka mtaji mkubwa, wazee wa kazi nao watakutembelea (matapeli, vibaka, wezi, na majambazi).
Achilia mbali baadhi ya vibinti, na hata wamama wenye tamaa watakao jipitisha, ili kuifilisi kabisa hiyo ofisi.
NB:- Biashara inataka usimamizi wa karibu. Haitaki umwamini mtu/kijana kwa 100%.
Kwa style iyo lazima upate short, hesabu zinafungwa kila sikuHuwa sifungi huwa naangalia kamishen ya kila mwezi na kuwaelekeza vijana wanote hiyo ktk kitabu. mfano.
1. September kamishen 20,000/=
2. October 21,000/=
3. Novemba 21,500/=
kisha najumlisha na lile salio langu nililowekeza najua kiasi kinachoongezeka
Mi dukani kwangu kijana akizingua ni KWAO.
Sinaga masihala na hela.
Mi nina duka la vinywaji, wiki mbili zilizopita nilimkuta kijana anakunywa bia moja store, hapohapo nikafukuza na nilimpa 20,000 kwa huruma asepe nayo, maana ili Baki wiki uishe mwezi.
Usiwe na huruma kwa wasio na huruma na wewe.
#YNWA
Vijana wako wana laini za siri ndo wanapata faida kuliko wewe.yaani mnagawana wateja.Wanabodi biashara hii itaniua kwa pressure, tangia nimeianza sijawahi pata pesa zaidi napata hasara tu. Mara ya kwanza ni miezi mitatu iliyopita nimepata short ya 200,000/= leo nimechek nimekuta short ya 150,000/=
Hebu wajuzi wa mambo nishaurini, namna ya udhibiti.
Hata kama wana laini za siri haiwezekan mtaji ukapungua,Vijana wako wana laini za siri ndo wanapata faida kuliko wewe.yaani mnagawana wateja.
Sasa wawekee mtego kwa kutumia wateja wapya utawakamata
Ndio nipo serikalini ndg.
waajiriwa wanavituko yupo alikopa akafungua duka akamuweka mdogo wake vitutuko wakati wakilpa mapato hite akasubili mshahara hili aongezee [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]Sijui kwa nini wafanyakazi wengi wa serikalini wengi biashara huwashinda !
Mil 2 mtajikwa mtaji wa sh ngapi? huyu tatizo lake usimamizi ni mdogo pia inawezekana hiyo biashara gaiko senta nzuli
waajiriwa wanavituko yupo alikopa akafungua duka akamuweka mdogo wake vitutuko wakati wakilpa mapato hite akasubili mshahara hili aongezee [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]