Unafanya mazoezi gani kama unanyanyua chuma uzito utaongezeka tuNyie wataalam ni waongo mlionishauri mazoezi ati nitapunguza kilo kumbe ni uongo tu, badala ya kupunguza naongeza KGS
Najituma sana mazoezini, namwaga jasho ili nikate weight ila naona KGS ziziongezeka kuliko kabla sijaanza
Bora hata nisingepiga tizi sioni faida yoyote ya mazoezi
Ubwabwa na maharage sio tatiZo km anafanya mazoezi ipasavyoUnakula ubwabwa na maharagwe lisahani alafu unataka kupungua😂😂
Acha utani wewe....
Chuma kinaongeza uzitoNanyanyua chuma
Nikipata time jioni kama Leo nazunguka uwanja mara 10
Wali, mihogo....viazi alafu upungue...😀😀Matunda, wali, mihogo, viazi
Ni tatizo ikiwa kiasi cha ubwabwa na maharage ni kingi kuliko muda wa mazoezi na aina ya mazoezi unayofanyaUbwabwa na maharage sio tatiZo km anafanya mazoezi ipasavyo
Unene ni chakula. Hakikisha unakaa 16 hours bila kula in every 24 hour uone kama hutapunguaUbwabwa na maharage sio tatiZo km anafanya mazoezi ipasavyo
Uwanja mara 10 ni km tatu au nne tu chache SanaNanyanyua chuma
Nikipata time jioni kama Leo nazunguka uwanja mara 10
Akila na kufanya mazoezi sion shidaUnene ni chakula. Hakikisha unakaa 16 hours bila kula in every 24 hour uone kama hutapungua