Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapiga soga wewe!!!Akila na kufanya mazoezi sion shida
Ukiamua kufanya mazoezi ili kupunguza uzito unatakiwa ucontrol na ulaji wako,kawaida mazoezi ukifanya yanatengeneza hamu ya kula,sasa kama wewe unaitii hiyo hamu ya kula lazima utaongeza uzito...Nyie wataalam ni waongo mlionishauri mazoezi ati nitapunguza kilo kumbe ni uongo tu, badala ya kupunguza naongeza KGS
Najituma sana mazoezini, namwaga jasho ili nikate weight ila naona KGS ziziongezeka kuliko kabla sijaanza
Bora hata nisingepiga tizi sioni faida yoyote ya mazoezi
Mm nakula wali marahage na nyamaUnapiga soga wewe!!!
atengeneze calorie deficit kwa kupunguza vitu vyenye nishati nyingiKupungua uzito kwa kufanya mazoezi ni ngumu sana. Kupunguza kula ndiyo njia pekee yenye mafanikio katika kupunguza uzito. Angalia mfano wa hii hesabu. Ukikimbia km 1 unaburn Kilo calories kama 60. Lakini ukipiga chupa ya pepsi unaingiza kilocalories kama 200. So inabidi ukimbie zaidi ya km 3 ili uburn calories kutoka kwenye pepsi ya buku. Utaona kuwa ni rahisi kutokunywa pepsi kuliko kukimbia km 3. Punguza kula.
Mbeba vyuma huyu. Mazoez ya kukimbia ndo yanakata weightUnafanya mazoezi gani kama unanyanyua chuma uzito utaongezeka tu
SahihiMbeba vyuma huyu. Mazoez ya kukimbia ndo yanakata weight
Sio kweli ukiwa serious na mazoezi wiki tu matokeo unayaonaKupungua uzito kwa kufanya mazoezi ni ngumu sana. Kupunguza kula ndiyo njia pekee yenye mafanikio katika kupunguza uzito. Angalia mfano wa hii hesabu. Ukikimbia km 1 unaburn Kilo calories kama 60. Lakini ukipiga chupa ya pepsi unaingiza kilocalories kama 200. So inabidi ukimbie zaidi ya km 3 ili uburn calories kutoka kwenye pepsi ya buku. Utaona kuwa ni rahisi kutokunywa pepsi kuliko kukimbia km 3. Punguza kula.
Yupo sahihi sijawahi kuona shida ya chakula kama unafanya mazoezi kweliUnapiga soga wewe!!!
Upo sawa,mimi ni mlaji wa hovyo,pia nafanya mazoezi haijawahi kunipa shidaMm nakula wali marahage na nyama
Jioni naenda kuzima namba nane km steven gerald 😄😄
Nipo Kati ya 85na 88Uzito wako vipi?
Mwili ukikubali.mazoezi utaenjoy chakula chochoteUpo sawa,mimi ni mlaji wa hovyo,pia nafanya mazoezi haijawahi kunipa shida
Siku ukifanikiwa kuacha wali utanishukuruMatunda, wali, mihogo, viazi
tako limenona sanaee?😁😁😁😁😁😁😁😁😁Matunda, wali, mihogo, viazi
Chakula chakula chakulaNyie wataalam ni waongo mlionishauri mazoezi ati nitapunguza kilo kumbe ni uongo tu, badala ya kupunguza naongeza KGS
Najituma sana mazoezini, namwaga jasho ili nikate weight ila naona KGS ziziongezeka kuliko kabla sijaanza
Bora hata nisingepiga tizi sioni faida yoyote ya mazoezi
Hizo Zipunguze zirud 90 to 88Me nina 98