Nafanya mazoezi sana ila nazidi kuongeza uzito zaidi, nitakuwa nakosea wapi?

Nimekuelewa vyema mkuu
 
Kufanya mazoezi kunaleta Appetite, na ukipata appetite usipokuwa makini utajikuta unakula sana na ndio kunenepa huko sasa
 
Kuna mazoezi extreme ambayo hayatajali mtu anakula nini ni yatampa anachotaka.

Unachoexperience ni kama weight loss trap. Ambapo mtu anayepungua au aliyepungua tayari anakua anagain weight zaidi ya mwanzo

Kwa beginner kama wewe ushauri wangu kwako ni huu "You get fit in the gym, you loose weight in the kitchen"
 
Kwa ninavyowajuwa Watanzania na kuto elewa vitu, usikute unafanya mazoezi kupunguza unene lakini bado baada ya mazoezi unakunywa beer, kula kitimoto, kula hovyo bila kuzingatia diet kama Shilole. Kwa hali hii huwezi punguza unene hata kidogo.
 
Kuna kufanya mazoezi ili kutafuta appetite na kufanya mazoezi kupunguza uzito. Je wewe unafanya yapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…