Nafanyaje kuwa pilot wa ndege?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Dadek zake...
Ujue bana utajiri tunao wenyewe ni vile connection hakuna...

Yaani mi nikipata hiyo connection ya viungo najiripua chap tuu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ watu wanazani mali iko shambani mashamba ni nyie na hivyo basi Mvune kilicho shambani uchumi mmeukalia wana JF
 
Mkuu ujawahi kujibu swali langu..
We ni pilot au aircraft eng..?
 
Mtu akibanwa lazima utegemee mambo kama hayo mkuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cheki vizuri picha utaona muda halafu jiulize nipo wapi....
 
hizo ndoto uliota wapi na lini?
unataka uwe rubani kwenye ndege ya nani?
 
Unafikiri wanapewapewa tu kuna Muhuni amejiokoteza mpaka million 190 na bado akarudi kwenye Redio Ili achangiwe na wadau aende kusomea urubani hela haitoshi, hadi nilishangaa urubani mboni gharama sana
Mie nilitaka kumuuliza kwao mawe yapo maana kwenda huko serikali yenyewe itakuchangia kidogo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…