Affluence Express Ltd ni Kampuni inayotoa huduma za kusafirisha vifurushi na mizigo Tanzania, ipo Ghorofa namba 20 jengo la PSSSF Millennium Tower II Kijitonyama - Dar Es Salaam. Tuna karibisha maombi ya kazi ya Riders kama kiambatishi cha tangazo kinavyojieleza. Kwa mawasiliano zaidi usisite kumpigia Ndugu Kwanama kwa 07120660645