Nafasi 25 za Kazi katika Kampuni ya The Global Positive Mind Set Center (GPMSC) – FINTECH

Nafasi 25 za Kazi katika Kampuni ya The Global Positive Mind Set Center (GPMSC) – FINTECH

Tinted

Member
Joined
Jul 1, 2015
Posts
5
Reaction score
3
TANGAZO LA AJIRA​

Kampuni: The Global Positive Mind Set Center (GPMSC) – FINTECH

Mahali: Mwanza, Tanzania

Kampuni ya The Global Positive Mind Set Center (GPMSC) inakaribisha maombi ya ajira kutoka kwa Watanzania wenye sifa stahiki kujaza nafasi zifuatazo:

Nafasi Zilizopo
  1. Afisa Uhasibu – Nafasi 4
  2. Afisa Sheria – Nafasi 4
  3. Afisa Rasilimali Watu (HR Officer) – Nafasi 4
  4. Afisa TEHAMA (ICT Officer) – Nafasi 4
  5. Personal Secretary – Nafasi 5
Sifa za Waombaji
Kwa nafasi za Uhasibu, Sheria, Rasilimali Watu na TEHAMA:
  • Awe Mtanzania.
  • Elimu ya Shahada ya Chuo Kikuu katika fani husika au inayohusiana.
  • Uzoefu katika sekta husika utapewa kipaumbele.
Kwa nafasi ya Personal Secretary:
  • Awe Mtanzania.
  • Elimu ya ngazi ya Cheti na kuendelea katika Sekretarieti, Utawala au fani inayohusiana.
Vitu vya kuambatanisha na maombi
  • Barua ya maombi ya kazi.
  • Wasifu binafsi (CV).
  • Namba ya NIDA.
  • Namba ya TIN (binafsi).
  • Nakala za vyeti vya elimu.
Jinsi ya Kutuma Maombi
Tuma maombi yako kupitia barua pepe:
📧 [email protected]

Mwisho wa kutuma maombi
🗓️ Tarehe 4 Septemba 2025
Saa: 16:00 PM (EAT).
 
JOB VACANCY ANNOUNCEMENT

Company: The Global Positive Mind Set Center (GPMSC) – FINTECH
Location: Mwanza, Tanzania

The Global Positive Mind Set Center (GPMSC) invites job applications from qualified Tanzanians to fill the following positions:

Available Positions

1. Accountant – 4 Positions


2. Legal Officer – 4 Positions


3. Human Resource Officer (HR Officer) – 4 Positions


4. ICT Officer – 4 Positions


5. Personal Secretary – 5 Positions



Qualifications

For Accountant, Legal Officer, Human Resource Officer, and ICT Officer:

Must be a Tanzanian citizen.

Minimum of a Bachelor’s Degree in the relevant field or related discipline.

Work experience in the respective field will be an added advantage.


For Personal Secretary:

Must be a Tanzanian citizen.

Minimum of a Certificate in Secretarial Studies, Administration, or a related field.


Required Application Documents

Job application letter.

Curriculum Vitae (CV).

National Identification Number (NIDA).

Personal Tax Identification Number (TIN).

Copies of academic certificates.


How to Apply

Submit your application via email:
📧 [email protected]

Application Deadline

🗓️ 4th September 2025
⏰ 16:00 PM (EAT)
 
Back
Top Bottom