Nafasi 320 za kazi Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)

Mkuu, mimi nimeamua angalau kuwa optimistic,ila najua kweli mambo ni magumu,mpaka sasa nimekosa interview zaidi ya 5
Bora wewe unayajua haya Mambo kuliko kuweka matumaini kama huyo jamaa ambaye naona ni mgeni kwnye game la kutafuta ajira hizi
 
Siwavunji moyo bali nasema ukweli,mkiweka expectation ya kupata utajakuumia Sana,suala la muda tu
Sasa ina maana gani kuomba kitu alaf ikawa expectation zako ni kwamba hutopata?? Yani unamanini hutopata alaf unaomba ivo ivo ? We umeona wapi ?
Kila anaeomba ni kwasbb ana expect atachaguliwa ndio maana watu wameomba.
 
Huyu jamaa sijui anatabia gani au anadhani akikatisha watu tamaa kwenye interview atajikuta mwenyewe. Unaweza kuitwa kwenye interview pekee yako na bado ukafeli
Sijaomba wala sijataka kujisumbua
 
Sijaomba wala sijataka kujisumbua
Sasa kwa hiyo nani humu mjinga hajui kama kwenye kazi connection ni muhimu ? Sii tu Pccb sehemu zote watu wanaingizwa kinyemela. Kuna zile kazi za walimu watu wanatuma zaidi ya laki mbili mbona kila siku wanalalamika kuwa kuna ujinga unafanyika lakini bado tu watu zikitoka watu wanatuma.

Unadhani hata Pccb wasipo pachika watu wao hizo nafasi 200 zitatosha kwa watu wote . Wewe mwenyewe umetuma maombi mwaka jana pia ulituma sasa yanini kukatisha wengine tamaa.

Haya sasa hakuna atakae kwenda kufanya interview nenda ukafanye wewe mwenyewe connection tuone kama utafaulu.
 
Nimekwambia sijaomba elewa,uliza wakubwa zako walioomba mwaka jana
 
mainjinia kwenda kukimbizana na rushwa za wakati wa uchaguzi etc...nchi hii ngumu sana
 
Mbona wapo waliopata bila connection mwaka jana
Kuna baadhi ya watu humu hata hawana sifa zozote hata za kuwa jukwaa kama hili, na wapo wenye sifa lakini wamelizika na maisha then kuna wale wanao amini wanafaidi hapa, so kuwa tayari kusikia kila jambo ila akili za kuambiwa changanya na zako, watu kibao wanapata kazi bila.connection na tunawajuwa, wenye connection pia wapo lakini kisiwe kigezo cha kukatisha wengine tamaa.
 
Msiogope kuomba wakuu nina friends wawili wamepata za mwaka jana zile hawana connection. Nafahamu mambo ya connection hayaepukiki lakini hawawezi kuchukua wote connection... nafasi ni nyingi hizo wakuu ombeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…