Tuache kujifariji saw lkn na ww usituvunje moyo.Hizo nafasi 100 ndugu yangu ni chache Sana zinaweza zote kikapata watu kwa connection na wengine wenye connection pia wakakosa hujui tu acheni kujifariji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuache kujifariji saw lkn na ww usituvunje moyo.Hizo nafasi 100 ndugu yangu ni chache Sana zinaweza zote kikapata watu kwa connection na wengine wenye connection pia wakakosa hujui tu acheni kujifariji
Hili nalo neno aseeTuache kujifariji saw lkn na ww usituvunje moyo.
Bora wewe unayajua haya Mambo kuliko kuweka matumaini kama huyo jamaa ambaye naona ni mgeni kwnye game la kutafuta ajira hiziMkuu, mimi nimeamua angalau kuwa optimistic,ila najua kweli mambo ni magumu,mpaka sasa nimekosa interview zaidi ya 5
Siwavunji moyo bali nasema ukweli,mkiweka expectation ya kupata utajakuumia Sana,suala la muda tuTuache kujifariji saw lkn na ww usituvunje moyo.
Nimekumbuka id yako mwaka jana si mlirudi na ushuhuda kwamba usaili hewa, kumbe hukuombaSo why are you laughing mkuu? Mimi sikuomba
Sasa ina maana gani kuomba kitu alaf ikawa expectation zako ni kwamba hutopata?? Yani unamanini hutopata alaf unaomba ivo ivo ? We umeona wapi ?Siwavunji moyo bali nasema ukweli,mkiweka expectation ya kupata utajakuumia Sana,suala la muda tu
Are you sure uliiona hii Id??, kumbuka vizuri mkuuNimekumbuka id yako mwaka jana si mlirudi na ushuhuda kwamba usaili hewa, kumbe hukuomba
Huyu jamaa sijui anatabia gani au anadhani akikatisha watu tamaa kwenye interview atajikuta mwenyewe. Unaweza kuitwa kwenye interview pekee yako na bado ukafeliTuache kujifariji saw lkn na ww usituvunje moyo.
Sijaomba wala sijataka kujisumbuaHuyu jamaa sijui anatabia gani au anadhani akikatisha watu tamaa kwenye interview atajikuta mwenyewe. Unaweza kuitwa kwenye interview pekee yako na bado ukafeli
Sasa kwa hiyo nani humu mjinga hajui kama kwenye kazi connection ni muhimu ? Sii tu Pccb sehemu zote watu wanaingizwa kinyemela. Kuna zile kazi za walimu watu wanatuma zaidi ya laki mbili mbona kila siku wanalalamika kuwa kuna ujinga unafanyika lakini bado tu watu zikitoka watu wanatuma.Sijaomba wala sijataka kujisumbua
Nimekwambia sijaomba elewa,uliza wakubwa zako walioomba mwaka janaSasa kwa hiyo nani humu mjinga hajui kama kwenye kazi connection ni muhimu ? Sii tu Pccb sehemu zote watu wanaingizwa kinyemela. Kuna zile kazi za walimu watu wanatuma zaidi ya laki mbili mbona kila siku wanalalamika kuwa kuna ujinga unafanyika lakini bado tu watu zikitoka watu wanatuma.
Unadhani hata Pccb wasipo pachika watu wao hizo nafasi 200 zitatosha kwa watu wote . Wewe mwenyewe umetuma maombi mwaka jana pia ulituma sasa yanini kukatisha wengine tamaa.
Haya sasa hakuna atakae kwenda kufanya interview nenda ukafanye wewe mwenyewe connection tuone kama utafaulu.
mainjinia kwenda kukimbizana na rushwa za wakati wa uchaguzi etc...nchi hii ngumu sanaDirector General of the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) wishes to invite qualified Tanzanians to fill vacant posts in District Offices as shown below:
1.0 INVESTIGATION OFFICERS II (220 POSTS)
1.1 Required Qualifications:
1.1.1 Academic Qualifications:
- Applicants should possess three years Advanced Diploma or Undergraduate degree from recognized learning institutions in any of the following fields; Civil Engineering, Building Economics (Quantity Surveyor), Electrical Engineering, Water Engineering, Highway Engineering, Architecture, Computer science, Statistics, Law and Psychology Guidance and Counselling.
- Applicants should have a minimum pass of lower second class.
- Applicants should have good working knowledge of IT and computer related applications.
- Applicants who are registered by respective Professional Board(s) will be highly considered
1.1.2 Other Qualifications:
- All applicants must be citizens of Tanzania and not above 30 years old.
2.0 ASSISTANT INVESTIGATORS III (100 POSTS)
2.1 Required Qualifications:
2.1.1 Academic Qualifications:
Applicants should possess Certificate of Secondary (CSE), Basic Technician certificate, or Diploma from a recognized learning institution in one of the following categories;
- Category A: National Service’s programs with Security Skills •
- Category B: Motor Vehicle Mechanics, Panel Beating and Spray Painting, Automotive Electronics (NVA/NTA level 3 - 4) and Driving skills.
- Category C: Customer Service/Office Assistant and Accountancy
- Category D: Secretarial Studies
2.1.2 Other Qualifications:
- All applicants must be citizens of Tanzania and not above 25 years old.
3.0 GENERAL REQUIREMENTS AND CONDITIONS FOR ALL APPLICANTS
- Applicants should be of high integrity with no criminal record.
- Applicants must attach their detailed relevant certified copies of Academic certificates:
o Degree/Advanced Diploma Transcripts and Certificates.o Form IV and Form VI National Examination Certificates.o Standard VII Completion Certificate.o Professional certificates from respective boards.o One recent passport size picture and birth certificate.
National Identity Card (NIDA) or NIDA’s registration number is mandatory. Testimonials, Partial transcripts and results slips are not accepted. Certificates from Foreign Examination Bodies for Ordinary or Advanced Level Education should be certified by the National Examination Council of Tanzania (NECTA). Only verified certificates from Foreign Universities by the Tanzania Commission for Universities (TCU) will be accepted. Applicants must attach latest Curriculum Vitae (CV) having reliable physical address, contact postal address, email address and mobile phone numbers. Presentation of forged academic certificates and false information in the CV will attract legal action. Applicants must submit three names of referees with their reliable contact and one recent passport size photograph for each referee. Applicants who were terminated from Public Service for whatever reasons should not apply. Application letters should be hand written in Swahili or English language. Applicants employed by Government Institutions should channel their applications through their current employers. Only applicants who will comply with the pre-set qualifications and conditions will be shortlisted for further recruitment processes.NOTE: All applicants must note that once recruited will be placed to work at any PCCB District Office as Director General will determine 4.0 Mode of Application
- All applications must be sent through PCCB recruitment Portal whose address is: www.pccb.go.tz/ajira and not otherwise (Posted/Hand delivery will not be accepted).
- All applications letters should be addressed to:
Director General,Prevention and Combating of Corruption Bureau,Jamhuri Street,P.O. Box 129141101 DODOMAORMkurugenzi Mkuu,Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa,Mtaa wa Jamhuri,S.L. P 1291,41101 DODOMA.DEADLINE OF APPLICATION: 10th February, 2023
Oyaaaa😅Investigators ilikuwa 12000+ na assistant 9000+
Ila we jamaa mbona pessimistic sana babu😅Tafuta connection ku certify ni kupoteza hela na muda wako
Kuna baadhi ya watu humu hata hawana sifa zozote hata za kuwa jukwaa kama hili, na wapo wenye sifa lakini wamelizika na maisha then kuna wale wanao amini wanafaidi hapa, so kuwa tayari kusikia kila jambo ila akili za kuambiwa changanya na zako, watu kibao wanapata kazi bila.connection na tunawajuwa, wenye connection pia wapo lakini kisiwe kigezo cha kukatisha wengine tamaa.Mbona wapo waliopata bila connection mwaka jana