Kabisa kabisa ahsante sana.Msiogope kuomba wakuu nina friends wawili wamepata za mwaka jana zile hawana connection. Nafahamu mambo ya connection hayaepukiki lakini hawawezi kuchukua wote connection... nafasi ni nyingi hizo wakuu ombeni
Ule uzi wa lojiii za bei cheche dodoma uwekwe hapa mapemaaaaaTukutane Dodomya, interviewee 30k
Interview.......Ule uzi wa lojiii za bei cheche dodoma uwekwe hapa mapemaaaaa
Hata sijajua,nimeshangaa jamaa kaukurupusha uzi...
Kweli kabisa.Kuna baadhi ya watu humu hata hawana sifa zozote hata za kuwa jukwaa kama hili, na wapo wenye sifa lakini wamelizika na maisha then kuna wale wanao amini wanafaidi hapa, so kuwa tayari kusikia kila jambo ila akili za kuambiwa changanya na zako, watu kibao wanapata kazi bila.connection na tunawajuwa, wenye connection pia wapo lakini kisiwe kigezo cha kukatisha wengine tamaa.
unachojaribu kukifanya unakosea, ni kweli hujakatazwa kusema uonacho ni sahihi lakini kibaya ni kukatisha wenzio tamaa, nyie ndio aina ya watu flani wale wanaojifanya wakija darasai kelele sana kusumbua wengine waone kusoma hakuna maana ila ukirudi kwenu unajisome hakuna mfanoSijaomba wala sijataka kujisumbua
Hivi hizi kazi ni permanent au
Mkuu,naomba uwaulize maswali gani waliulizwa huko,then uyaandike hapa,tutashukuru sanaMsiogope kuomba wakuu nina friends wawili wamepata za mwaka jana zile hawana connection. Nafahamu mambo ya connection hayaepukiki lakini hawawezi kuchukua wote connection... nafasi ni nyingi hizo wakuu ombeni
Ndo tunasbrPdf lini wanatoa
KeshoPdf lini wanatoa
Kwenye written hawakutoa vitu vya darasani kwasababu kulikuwa na kada tofauti tofauti. Wanatoaga aptitude test ... Google aptitude test zipo na angalia zinakuwaje it's all about Reasoning and logic questions. Walitoa mpaka English tenses na hesabu za form 2 mengine ni aptitude/Reasoning/ logic questionsMkuu,naomba uwaulize maswali gani waliulizwa huko,then uyaandike hapa,tutashukuru sana
Ahsante Mkuu, wakitoa hesabu nimeisha,juzi zimenishinda za std 4Kwenye written hawakutoa vitu vya darasani kwasababu kulikuwa na kada tofauti tofauti. Wanatoaga aptitude test ... Google aptitude test zipo na angalia zinakuwaje it's all about Reasoning and logic questions. Walitoa mpaka English tenses na hesabu za form 2 mengine ni aptitude/Reasoning/ logic questions
Huwa wanasema kabisa ni aptitude test
Kuna wengine hesabu hatujui kabisakulingana na kada tajwa hapo juu naomba wa base kwenye numerical. Wakileta upande wa lugha itakuwa noma. Niliwahi fanya aptitude test ya nmb upande wa lugha ulikuwa balaa bora hata hesabu za umri na design hizo unaweza ambulia kitu