Nafasi 320 za kazi Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)

Nafasi 320 za kazi Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)

Msiogope kuomba wakuu nina friends wawili wamepata za mwaka jana zile hawana connection. Nafahamu mambo ya connection hayaepukiki lakini hawawezi kuchukua wote connection... nafasi ni nyingi hizo wakuu ombeni
Kabisa kabisa ahsante sana.
 
Nafasi wangepewa Tamisemi au Wizara ya Afya waajiri vijana wakasaidie jamii uko vijijini kuliko kuwapa Takukuru wakale pesa za bure tu.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Kuna baadhi ya watu humu hata hawana sifa zozote hata za kuwa jukwaa kama hili, na wapo wenye sifa lakini wamelizika na maisha then kuna wale wanao amini wanafaidi hapa, so kuwa tayari kusikia kila jambo ila akili za kuambiwa changanya na zako, watu kibao wanapata kazi bila.connection na tunawajuwa, wenye connection pia wapo lakini kisiwe kigezo cha kukatisha wengine tamaa.
Kweli kabisa.
 
Sijaomba wala sijataka kujisumbua
unachojaribu kukifanya unakosea, ni kweli hujakatazwa kusema uonacho ni sahihi lakini kibaya ni kukatisha wenzio tamaa, nyie ndio aina ya watu flani wale wanaojifanya wakija darasai kelele sana kusumbua wengine waone kusoma hakuna maana ila ukirudi kwenu unajisome hakuna mfano

waache wajaribu, na kwenye kujaribu kuna mawili either upate au ukose hayo yote yatajulikana mtu atakapojaribu ni heri ufe umejaribu kuliko kufa unajutia bora ningejaribu pengine ingekua vingine

enyi mlioomba, Mungu awasimamie atakayechaguliwa basi inshallah ikawe heri kwake, kuitwa kwenye usahili ni nusu ya safari ukiona hujaitwa bas jua sio riziki yako na atakayefanya usahili akakosa ajue pia haikuandikwa kwake iwe. Mkiona mnarushiwa sana mawe yaokoteni yajengeeni ngazi yatawasaidia kusogea nafas ya juu.
 
Msiogope kuomba wakuu nina friends wawili wamepata za mwaka jana zile hawana connection. Nafahamu mambo ya connection hayaepukiki lakini hawawezi kuchukua wote connection... nafasi ni nyingi hizo wakuu ombeni
Mkuu,naomba uwaulize maswali gani waliulizwa huko,then uyaandike hapa,tutashukuru sana
 
Mkuu,naomba uwaulize maswali gani waliulizwa huko,then uyaandike hapa,tutashukuru sana
Kwenye written hawakutoa vitu vya darasani kwasababu kulikuwa na kada tofauti tofauti. Wanatoaga aptitude test ... Google aptitude test zipo na angalia zinakuwaje it's all about Reasoning and logic questions. Walitoa mpaka English tenses na hesabu za form 2 mengine ni aptitude/Reasoning/ logic questions

Huwa wanasema kabisa ni aptitude test
 
Ahsante Mkuu, wakitoa hesabu nimeisha,juzi zimenishinda za std 4
 
kulingana na kada tajwa hapo juu naomba wa base kwenye numerical. Wakileta upande wa lugha itakuwa noma. Niliwahi fanya aptitude test ya nmb upande wa lugha ulikuwa balaa bora hata hesabu za umri na design hizo unaweza ambulia kitu
 
Kuna wengine hesabu hatujui kabisa
 
Back
Top Bottom