mr_politician
JF-Expert Member
- Sep 20, 2015
- 631
- 452
Panga la ukweli hili.Duuuh wachunguzi 3337 hadi 766.
Almost 2571 wamechujwa.
The struggle is real.
M ndo mana nikaona hata nisiende kwenye hui uasil wao..!!!! But kila la heri kwa waliochaguliwa kwenye oralDuuuh wachunguzi 3337 hadi 766.
Almost 2571 wamechujwa.
The struggle is real.
Acha tu kaka.Panga la ukweli hili.
Dogo kazingua, hajaitwa
Mkuu umetoboa?Ila mkeka utatoka soon tujipe matumaini. Munugu atusaidie
Nashkuru Mungu, Tukutane dodoma wazee.Mkuu umetoboa?
Walioenda Oral mwaka jana tupieni maswali mlioulizwaN
Nashkuru Mungu, Tukutane dodoma wazee.
Sasa tupeane madesa ya ora l wakuu
N
Nashkuru Mungu, Tukutane dodoma wazee.
Sasa tupeane madesa ya ora l wakuu
KumbeSi nasiki an yanaenda kwa coz mzee
Hakuna atakaye kujibuOya wadau so far humu hakuna aliyefanya oral?
Sure japo makundi tofauti ila ndio hivyoKwamba kila mtu anamuombea njaa mwenzake au🤣