Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Yah,ni ngumu sana nafasi 100 zote ziwe na connection,utakuta ni 30 ndio washaweka watu waoSio kwel mzee kuna watu binafs nawajua wapo huko bila connection wala kununua nafas, cha msing ni kuomba Mungu kila mtu kwa iman yake
Duh baada ya miez miwili kumbe! Mbona wanaweka ma.gap ya mda makubwa ivo.Waliita baada ya miezi miwili, Mkuu aptitude test hua ni general knowledge na miaka yote huwa hayafanan
duh! mlifanyia uwanjani au hahaInvestigators ilikuwa 12000+ na assistant 9000+
Noma sana, na waliweka kigezo cha jkt, sasa imagine mwaka huu hamna kigezo cha jkt itakuwaje ?duh! mlifanyia uwanjani au haha
Kuna mdau nmeona kasema 1.8M sio haba, ila nyom la watu ni kutokana na uhaba wa ajira nchin
Wakati huu wa sasa wahanga hawaangalii wingi wa mshahara mkuu,,, ata wewe ukitangaza fursa ya kazi kwenye biashara yako utastajabu ya musa jinsi watakavyofurika
Pccb kunaeleweka shida nafasi zinachukuliwa na wakubwa wanaweka watu wao na nyengine huuzwa
Labda saiv haitakuwa na gap kubwa, tukae kwa kusubir mkuuDuh baada ya miez miwili kumbe! Mbona wanaweka ma.gap ya mda makubwa ivo.
Utaona me nipo nawazoomSio kwel mzee kuna watu binafs nawajua wapo huko bila connection wala kununua nafas, cha msing ni kuomba Mungu kila mtu kwa iman yake
Nakuhakikishia hizo nafasi hatopata mtu kama hatokuwa na connection nipo nimekaa paleSio kwel mzee kuna watu binafs nawajua wapo huko bila connection wala kununua nafas, cha msing ni kuomba Mungu kila mtu kwa iman yake
SawaLabda saiv haitakuwa na gap kubwa, tukae kwa kusubir mkuu
Kigezo cha jkt walikitoa mwaka huu kunanafuu kubwa umeona kozi zinazohitajika kwenye investigation officers. Mwaka jana karibia social science zote pamoja na watu wa account wewe ungetegemea nini hapoNoma sana, na waliweka kigezo cha jkt, sasa imagine mwaka huu hamna kigezo cha jkt itakuwaje ?
Nini kiliwakuta?Musione Safari hii watu hawana vibes humu ndani,mwaka jana nilikuwa nawambiaga lkn walikuwa hawaamini kilichoenda kuwakuta wanajua wao
Mwaka jana wewe si uliomba hahahaha [emoji23]All the best kwa wenye qualifications mpaka kieleweke, chances 320 si haba
Hizo nafasi 100 ndugu yangu ni chache Sana zinaweza zote kikapata watu kwa connection na wengine wenye connection pia wakakosa hujui tu acheni kujifarijiYah,ni ngumu sana nafasi 100 zote ziwe na connection,utakuta ni 30 ndio washaweka watu wao
Mkuu, mimi nimeamua angalau kuwa optimistic,ila najua kweli mambo ni magumu,mpaka sasa nimekosa interview zaidi ya 5Hizo nafasi 100 ndugu yangu ni chache Sana zinaweza zote kikapata watu kwa connection na wengine wenye connection pia wakakosa hujui tu acheni kujifariji
So why are you laughing mkuu? Mimi sikuombaMwaka jana wewe si uliomba hahahaha [emoji23]