Nafasi 320 za kazi Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)

Nafasi 320 za kazi Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)

Wakati huu wa sasa wahanga hawaangalii wingi wa mshahara mkuu,,, ata wewe ukitangaza fursa ya kazi kwenye biashara yako utastajabu ya musa jinsi watakavyofurika

Haha sure mkuu inaeleweka kabsa the struggle is real mtaani so acha vijana wakimbizane na fursa
 
Pccb kunaeleweka shida nafasi zinachukuliwa na wakubwa wanaweka watu wao na nyengine huuzwa

Ndio nimestuka now baada ya kuona kumbe ata last year kulikuwa na nyomi la watu kama comments za wadau uko juu walivoelezea
 
Noma sana, na waliweka kigezo cha jkt, sasa imagine mwaka huu hamna kigezo cha jkt itakuwaje ?
Kigezo cha jkt walikitoa mwaka huu kunanafuu kubwa umeona kozi zinazohitajika kwenye investigation officers. Mwaka jana karibia social science zote pamoja na watu wa account wewe ungetegemea nini hapo
 
Mwaka jana nilichaguliwa nikazingua kwenda written hii ni hasara kubwa ningepata uzoefu na wala nisinge pungukiwa na kitu chochote.
Kuna watu humu wanakatisha tamaa kindezi eti ukiitwa usijisumbue kwenda wakati hizo hizo nafasi nayeye ametuma hii ni roho ya husda.
 
Musione Safari hii watu hawana vibes humu ndani,mwaka jana nilikuwa nawambiaga lkn walikuwa hawaamini kilichoenda kuwakuta wanajua wao
 
Yah,ni ngumu sana nafasi 100 zote ziwe na connection,utakuta ni 30 ndio washaweka watu wao
Hizo nafasi 100 ndugu yangu ni chache Sana zinaweza zote kikapata watu kwa connection na wengine wenye connection pia wakakosa hujui tu acheni kujifariji
 
Back
Top Bottom