April26
JF-Expert Member
- Jul 14, 2020
- 1,405
- 2,147
Idadi ya interview mlikuwa kiasi gani vile ili kupata hao 350! Na title za kqzi zilikuwa hizi hizi za investigators?Zilikuwa 350, tuliitwa written ila baada ya hapo ilikuwa ni kukandwa tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Idadi ya interview mlikuwa kiasi gani vile ili kupata hao 350! Na title za kqzi zilikuwa hizi hizi za investigators?Zilikuwa 350, tuliitwa written ila baada ya hapo ilikuwa ni kukandwa tuu
Mwanangu tulikuwa wengi balaa ckumbuk idad, nafas zilikuwa hiz hiz, sema zenyew zilikuwa na kigezo cha jkt tofaut na hiz za sasa hazina kigezo hichoIdadi ya interview mlikuwa kiasi gani vile ili kupata hao 350! Na title za kqzi zilikuwa hizi hizi za investigators?
Ngoja tusubili mkeka.Mwanangu tulikuwa wengi balaa ckumbuk idad, nafas zilikuwa hiz hiz, sema zenyew zilikuwa na kigezo cha jkt tofaut na hiz za sasa hazina kigezo hicho
Eeh mwanangu, tutakutana domNgoja tusubili mkeka.
Ya kwel haya?1.8m
Hahahaha amina mkuu.Eeh mwanangu, tutakutana dom
Wanaita baada ya muda gani ? ,Maswali mwaka jana mliulizwa yapiEeh mwanangu, tutakutana dom
Investigators ilikuwa 12000+ na assistant 9000+Idadi ya interview mlikuwa kiasi gani vile ili kupata hao 350! Na title za kqzi zilikuwa hizi hizi za investigators?
Waliita baada ya miezi miwili, Mkuu aptitude test hua ni general knowledge na miaka yote huwa hayafananWanaita baada ya muda gani ? ,Maswali mwaka jana mliulizwa yapi
Tulikuwa kijiji aseeInvestigators ilikuwa 12000+ na assistant 9000+
Wazo zuriJamani mwaka huu pia tuundeni group la maswali kama mwaka jana. Waliofanya walisema ilisaidia
Uko sahihi mkuu kwa wale wa assistant investigator maswali yale nadhan hayawezi kujirudia maana yalikuwa ya shule ya msingi,,, sjajua kwa sasa watatunga kwa mfumo upi,,, Yesu atusaidie maana sio lahis kung' amuaJamani mwaka huu pia tuundeni group la maswali kama mwaka jana. Waliofanya walisema ilisaidia
Tafuta connection ku certify ni kupoteza hela na muda wakoDaa sijacertify vyeti na siku zimeisha
Kuna mdau nmeona kasema 1.8M sio haba, ila nyom la watu ni kutokana na uhaba wa ajira nchinInaonekana kunaeleweka sana huku pccb mana sio kwa nyomi hilo la watu.
Wakati huu wa sasa wahanga hawaangalii wingi wa mshahara mkuu,,, ata wewe ukitangaza fursa ya kazi kwenye biashara yako utastajabu ya musa jinsi watakavyofurikaInaonekana kunaeleweka sana huku pccb mana sio kwa nyomi hilo la watu.
Pccb kunaeleweka shida nafasi zinachukuliwa na wakubwa wanaweka watu wao na nyengine huuzwaInaonekana kunaeleweka sana huku pccb mana sio kwa nyomi hilo la watu.
Sio kwel mzee kuna watu binafs nawajua wapo huko bila connection wala kununua nafas, cha msing ni kuomba Mungu kila mtu kwa iman yakePccb kunaeleweka shida nafasi zinachukuliwa na wakubwa wanaweka watu wao na nyengine huuzwa