baby debby
Member
- Sep 7, 2022
- 21
- 19
Saa ngapi hiyo mkuuKesho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saa ngapi hiyo mkuuKesho
Mbona mapema sana kuleta mkeka ??Saa ngapi hiyo mkuu
Hadi miez mingap iishe ?Mbona mapema sana kuleta mkeka ??
Sijui mkuu lakini haiwezi kuwa week 2Hadi miez mingap iishe ?
Ilikuwa jokes tuSaa ngapi hiyo mkuu
waliofanya last year wanasema hesabu hizi ndogo ndogo zilitawala kwa hiyo nivizuri kujiandaa kwa loloteKuna wengine hesabu hatujui kabisa
Mbon hawajasema itakua tareh ngapi usaili ? Au mm nd sijaona ?Aya majina yametoka, kila aangalie jina lake hapoView attachment 2529148View attachment 2529149View attachment 2529150
Ngoja wazoefu waje mkuu.Hongereni sana mliochaguliwa kwenye interview. Tujadiliane maswali yanayotoka kwenye uptitude test ni kama yapi??.
Tarehe ya usaili ni lini wandugu
Umeona wapi ?04/03
Ingia website ya pccbUmeona wapi ?
SawaIngia website ya pccb