Nafasi 5 za kazi ya kushona (corporate uniforms), jaribu bahati yako

Nafasi 5 za kazi ya kushona (corporate uniforms), jaribu bahati yako

Bonheur Travels Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2020
Posts
252
Reaction score
499
Wadau,

Leo tumekuja na fursa ya kazi (paid opportunity) kwa mafundi waliopo Dar es Salaam. Inaweza ikakufaa wewe au mtu unayemfahamu. Mfikishie taarifa hii.

Tunahitaji Mafundi 5 wenye ujuzi wa kushona nguo za aina zifuatazo:

1. Suruali
2. Makoti ya wapishi wa hoteli
3. Mashati
4. Apron
5. Kofia za wapishi (chef)

NB: Mashine za kushonea na rasilimali zote muhimu zipo.

Piga simu: 0787 212122.
 
Back
Top Bottom