britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Bwana Bernard Camilius Membe, Mtu Maalumu kwa mikakati maalumu kwa lengo Maalumu (Mshauri mkuu wa masuala ya usalama wa Taifa na nchi kwa Jumla)
Ni wachache watakao kuwa wanajua nafasi yake ilikuwa ipi Ila kwa kifupi nafasi Kama yake uwa hazitangazwi, zinatangazwa za mshauri mkuu wa masuala ya Kimataifa, Mshauri mkuu wa masuala ya Uchumi, au siasa ila ya Isalama wa Taifa uwa ni Siri kwa usalama zaidi
Taifa limepoteza, Chama kimepoteza na Wanadiplomasia wamepoteza
Membe Ntamkumbuka kwa mambo Makuu mawili
Tanzania wapo watu wawili tu ambao walisimama kidete wakati tunakaangwa na mafuta ya kenge 2015-2021 walio walioenda kwa misimamo Yao bila kurudi nyuma
1. Tundu A Lissu alisema bila kuogopa mtu
2. Bernard Membe pamoja na kuwa blackmailed Mara kadhaa
Watu hawa ni nguzo ukatae ukubali katika kusimamia walichoamini wakiwa ndani ya nchi chini inayoongozwa na KATO
Maswali yapo mengi mtakayojiuliza wasoma uzi
Nafasi hii aliteuliwa lini na anateuliwa na Nani? Kwanini awe yeye ambaye alikuwa na sintofahamu na Aliyetangulia
Pumzika kachero
Britanicca