Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata wao hawajui wanataka mtu wa IT au Marketing au both,kama tu TTCL hawajui wanamdai nani ila wanajua kuna watu wanawadai😂Nahisi hata mshahara utapanga mwenyewe kwamba ulipwe shilingi ngapi? 😂
hata wao hawajui wanataka mtu wa IT au Marketing au both,kama tu TTCL hawajui wanamdai nani ila wanajua kuna watu wanawadai[emoji23]
Takwa gani la sheria kwa private sector?MARA NYINGI HIYO NAFASI UTAKUTA TAYARI INA MTU ANAFANYA KAZI MUDA TU...ILA SASA...TAKWA LA KISHERIA LINAWAFORCE WATANGAZE...
Kwani hayo makampuni yamesajiliwa kwa sheria ipi?Takwa gani la sheria kwa private sector?
Tuwekee hapa ibara inayowataka wafanye hivyo.Kwani hayo makampuni yamesajiliwa kwa sheria ipi?
Katafute...usitake kutafuniwa kila kitu...Tuwekee hapa ibara inayowataka wafanye hivyo.
😄😄 Mzee wa paukwa pakawa.Katafute...usitake kutafuniwa kila kitu...
Hata binadamu kuna wakati unasahau unaemdai au anaekudai ila baada ya muda unakuja kukumbuka.hata wao hawajui wanataka mtu wa IT au Marketing au both,kama tu TTCL hawajui wanamdai nani ila wanajua kuna watu wanawadai😂
Hata hawajui kama wanataka kufa au kuuawaNahisi hata mshahara utapanga mwenyewe kwamba ulipwe shilingi ngapi? 😂
😂wakune tu kichwaHata binadamu kuna wakati unasahau unaemdai au anaekudai ila baada ya muda unakuja kukumbuka.
Hivyo TTCL wakikuna kichwa wakakaa wakatulia watawakumbuka tu wadaiwa wao. Ni vile tu mambo yamekua mengi ndio maana wamewasahau 😆😆😆
[emoji23][emoji23]hata wao hawajui wanataka mtu wa IT au Marketing au both,kama tu TTCL hawajui wanamdai nani ila wanajua kuna watu wanawadai[emoji23]