Nafasi Mpya za Ajira 4,500 Zaja kwa Watanzania

Nafasi Mpya za Ajira 4,500 Zaja kwa Watanzania

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Tunatarajia kupata nafasi nyingine 4,500 kwa ajili ya Watanzania ambazo ziko katika hatua za mwisho za kukamilisha taratibu. Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Mahusiano ndiyo inaratibu zoezi zima kwa kushirikiana na wizara za kisekta ikiwemo ya Mambo ya Ndani pamoja na ile ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki

Dkt. Mwigulu Nchemba
Waziri Mkuu wa Tanzania

🗓️Septemba 29, 2026
📍DOHA, QATAR
———————————
——————-
 
Back
Top Bottom