Nafasi na mchango wa watu maarufu katika maandamano ya leo tarehe 24 Januari

Utamaduni wa maandamano ndiyo unaanza na huko mbele watu wengi watashiriki bila hofu. Kwa leo upande wa serikali haukuwa na uhakika na upande wa wananchi pia. imekuwa kama pilot study.Mwanzo huwa mgumu. wacha tuone maandamano yajayo.
Kwahiyo miongoni mwa niliowataja walikuwa wamekaa pembeni wanausoma mchezo sio? Cowards!
 
Mkuu nilichoona mimi hii ni teaser tu , next time itakua balaa , maana itagusa watu wote na hapo ndipo utasikia ' km tuliweza kipindi kile kwann sasa tushindwe ' hutoamini
kwahiyo wengi leo waliwaacha wenzao wawe chambo sio? Cowards!
 
Ni kweli.
 
Nilicho kiona leo nikwamba CHADEMA ndiyo iliyo andamana na wafuasi wao.
Sikwamba walio salia majumbani wote hawajapendezwa na maandamano hayo .

Kuna makundi kwenye hilo.

(1) Vyama vingine vinavyo jitanabahisha kuwa ni wapinzani ,wanafikiri kwamba kama wange unga mkono maandamano hayo basi CHADEMA ingeonekana kung'ara na si vyama vingine. Japo hoja hiyo haina mashiko kwa kuzingatia umuhimu wa sababu za maandamano.

(2) Wafanya biashara, Hawa ndiyo watu wsoga zaidi nchini Tanzania, wanafikiri kama wangeonekana kwenye maandamano basi TRA ingewatimbia kwenye biashara zao kesho tu na kuwafanyia makadilio debe.

(3) Viongozi wa kidini, Viongozi wengi wa dini ni CCM B au wanafiki kwa maneno mengine ,na wale wachache ambao huicharua serikali wamefikiri wakiambatana na CHADEMA kwenye maandamano basi jamii itawachukulia kama, wanajiingiza kwenye siasa kama ambavyo wafuasi wa ccm huwa sema ili kufifisha hoja zao. Japo ni woga wa bure kwani wanahaki kuandamana kikatiba kama wananchi wengine.

Hata hivyo ni ukweli usiopingika kwamba maandamano hayo yamefurawiwa na watu wengi ndana nje ya serikali, kwani polisi, wauguzi, waalimu na watumishi wenye kada za chini Serikalini wanapambana na maisha magumu kama ilivyo kwa wanachadema.
 

Ikiwa JF TU wame ban uzi zenye kutoa update ya maandamano; how about waandishi

Max keshalambishwa Asali na JF imeshapoteza lengo kwa asilimia kubwa

Critical thinkers wote wameshakimbia
 
Wewe ukiona watu wanajadili hoja zinazohitaji kutumia akili, pita pembeni. Maana kama hoja inahitaji akili, na wewe akili huna, utachangia kitu usichokuwa nacho?

Ameeleza ukweli, Chadema hakina democracy wala misingi
Ni Monopoly system; hatuwezi kumuamini an old man who cannot transfer power
 
Ndugu yangu.
Hata kwenye nyumba ya familia yenye watu wengi, hawaamki wote kwa wakati mmoja lakini neno kuamka litatimia kwa wakati.
 
Umeeleza vizuri sana mkuu.
 
Je, wako wapi waandishi wa habari nguli wanaongoza kupinga mikataba mbalimbali ya kidharimu kwa nchi yetu?
Tupo na tumeshiriki maandamano kikamilifu, kwanza kwa kuyawezesha kufanyika Maandamano ni Haki ya Vyama vya Siasa, Serikali itoe kila ushirikiano kwa CHADEMA hata kama uelekeo ni Ikulu hivyo kufuatia ushauri huo, hili likafanyika Mbowe: Makubaliano na Jeshi la Polisi yamefikiwa kuwa maandamano yataendelea kama yalivyopangwa na maandamano yakawezekana.

Pili kwa kuhamasisha watu wajitokeze kwa wingi Kufuatia Umuhimu wa Maandamano ya UKUTA: Nimehamasika, Nitashiriki, Tujitokeze kwa Wingi! Ila...!

Na tatu, tukashiriki kikamilifu, ndio maana wewe ukaona picha na video, ujue aliyepiga huwezi kumuona ila yupo!.
P
 
2. Tuliambiwa watoto wao nao washiriki maandamo; Mbowe kuchukua watoto wote kuwapeleka front

3. Tuliambiwa maandamano ni vurugu,hakuna vurugu mwanzo mwisho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ukiona watu wanajadili hoja zinazohitaji kutumia akili, pita pembeni. Maana kama hoja inahitaji akili, na wewe akili huna, utachangia kitu usichokuwa nacho?
Asiye na akili anachangia pumba kwahiyo huo ndiyo upeo wake 👆 wala asilaumiwe
 
kongole kwako mkuu, nafahamu huna sifa ya kunguru.
 
Watu wanadangaika kijinga,,haya maaandamano mbowe na Samia lao Moja wanasiri Fulani ndo maana wote walikuwa wanayapinga wameishiwa kupigwa dafrao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…