Nafasi tano (05) za Afisa masoko na mauzo ya viwanja- J2 Real Estate

Manala An Academician

Senior Member
Joined
Oct 10, 2016
Posts
119
Reaction score
57
1. Utangulizi
J2 Real Estate inahusika na ununuzi na uuzaji wa viwanja, tathmini na urasimishaji wa ardhi. Ofisi zake ziko Goba, DSM

2. Nafasi za kazi
Tunawatangazia watanzania wenye sifa na uzoefu katika kazi za mauzo na masoko wa miradi ya viwanja kuchangamkia nafasi hizi.

Sifa
-Uwezo mzuri wa kuongea na kushawishi wateja
-Uwezo wa kutumia mitandao ya kijamii katika kutafuta wateja

-Uwezo wa kufanya kazi yenye matokeo bila usimamizi wowote

-Uzoefu katika kazi za masoko hasa zinazohusiana na viwanja zitazingatiwa zaidi

-Elimu kuanzia kidato cha nne

Mshahara

Kutakuwa na malipo ya aina tatu kwa- mwezi kama ifuatavyo

A. TZS 600,000/- (kama mfanyakazi atavuka lengo la mwezi)

B. TZS 400,000/- (kama mfanyakazi atafika lengo la mwezi)

C. TZS 150,000/- (kama mfanyakazi hatofikia lengo la mwezi)

3. Utaratibu wa kuomba maombi

Maombi yatumwe kwa- WhatsApp number 0765374146 na kupitia email: manager@flydream.co.tz

4. Mwisho
Maombi yatapokelewa mpaka jumatano ya tarehe 07/09/2022 saa 11:59 usiku
 
Tapeli huyo hamna kazi hapo kila siku tunawambia hamsikii kila sku anaajili watu anawafanyisha kazi bila kuwalipa anawafukuza anasema hajaridhika na ufanyaji kazi anakuja jamii forum kutafuta mwingine
 
1. Utangulizi
J2 Real Estate inahusika na ununuzi na uuzaji wa viwanja, tathmini na urasimishaji wa ardhi. Ofisi zake ziko Goba, DSM

2. Nafasi za kazi
Tunawatangazia watanzania wenye sifa na uzoefu katika kazi za mauzo na masoko wa miradi ya viwanja kuchangamkia nafasi hizi.

Sifa
-Uwezo mzuri wa kuongea na kushawishi wateja
-Uwezo wa kutumia mitandao ya kijamii katika kutafuta wateja

-Uwezo wa kufanya kazi yenye matokeo bila usimamizi wowote

-Uzoefu katika kazi za masoko hasa zinazohusiana na viwanja zitazingatiwa zaidi

-Elimu kuanzia kidato cha nne

Mshahara

Kutakuwa na malipo ya aina tatu kwa- mwezi kama ifuatavyo

A. TZS 600,000/- (kama mfanyakazi atavuka lengo la mwezi)

B. TZS 400,000/- (kama mfanyakazi atafika lengo la mwezi)

C. TZS 150,000/- (kama mfanyakazi hatofikia lengo la mwezi)

3. Utaratibu wa kuomba maombi

Maombi yatumwe kwa- WhatsApp number 0765374146 na kupitia email: manager@flydream.co.tz

4. Mwisho
Maombi yatapokelewa mpaka jumatano ya tarehe 07/09/2022 saa 11:59 usiku
Kuna shutuma ya ubabaishaji hapo juu, hebu towa ufafanuzi please.
 
Back
Top Bottom