Nafasi ya ajira; Kazi ya kuuza mabegi

Nafasi ya ajira; Kazi ya kuuza mabegi

nover

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2012
Posts
239
Reaction score
178
Habari wadau. Nina ofisi inayoshughulika na uuzaji mabegi ya nguo pamoja na mgongoni jijini Mwanza. Naitaji kijana wakusaidiana nae majukukumu ya dukani
Sifa; 1) awe anajua kusoma, kuandika na hesabu za hapa na pale
2) Umri asizidi miaka 25
3) jinsia awe wakiume
4) Awe na uzoefu wa biashara ya mabegi angalau mwaka mmoja.
Masalai; Mshahara laki moja kwa Mwezi, posho ya kila siku 2,000 & posho ya kufanya kazi jumapili 7,000

Mawasiliano 0744928467 WhatsApp pekee unitumie majina yako pamoja na uzoefu wako.
 
Ofisi Yako Iko wapi?
 
Toka nipigwe kwenye kazi ya mitungi sitamani kazi za wahuni hovyo 😂 yaani unaenda kweli kufanya kazi kumbe bosi njanjanjanja anaanza kukutengenezea scenario mara mitungi haipo hebu assume unawiki tu kazini unadaiwa mtungi wa 51k oryx complete mdogo mshahara kwa mwezi 100k haha bado wk 3 nusu ya mshahara imeenda ukija jitikisa tena ni polisi unawekwa ndani kwa wizi au wadhamini wawajibike niliacha kazi kesho yake 😂 nashukuru Mungu nimepata sehemu walau nalipwa hadi nauli, mshahara mwisho wa mwezi upo palepale labda uongezeke kwa bonus 😂 Mungu mkubwa aseh
 
Back
Top Bottom