Nafasi ya Godbless Lema ya Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini itajazwa lini?

Nafasi ya Godbless Lema ya Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini itajazwa lini?

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,902
Reaction score
52,001
Nafasi ya Godbless Lema ya mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini itajazwa lini?

Kama tujuavyo Lema amekimbia nchi kwa madai ya changamoto za kisiasa na kuelekea Kenya kupata hifadhi.

Naomba jibu, kuuliza si ujinga.
 
Ataongoza akiwa ughaibuni maana hata lisu ni makamo mwenyekiti taifa na anaongoza akiwa Ulaya. Chadema ni mpango wa shetani kabisa.
 
Acha uchokozi, tuna machungu ya kukosa ubunge, habari za Lema za nini?
 
😂
Ile movie ya kuomba ukimbizi CD ili scratch episode ya pili tu, Lema anavuta pumzi tu ila muda si mrefu atarudi bongo tu na nyumbu watashangilia.
 
Ama kwa hakika tunakosa uchambuzi wa vifungu vya biblia!
 
Akihakikishiwa usalama wake kama wanaotembea na convoy jammer
 
Unaulizia ya jirani ya kwenu mnayashindwa?

Mbona huulizii nafasi iliokua ya poli poli mwenezi itajazwa na nani!?

Mbona mnaweweseka?
 
Wakiwepo mnawapa mikesi ya ajabu, wakiondoka mnawakumbuka, sijui mmelogwa na nani.
 
Chadema wapo wapo tu kama mijusi ya ndani (haina faida yoyote)
 
Back
Top Bottom