YEHODAYA JF-Expert Member Joined Aug 9, 2015 Posts 36,902 Reaction score 52,001 Dec 9, 2020 #1 Nafasi ya Godbless Lema ya mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini itajazwa lini? Kama tujuavyo Lema amekimbia nchi kwa madai ya changamoto za kisiasa na kuelekea Kenya kupata hifadhi. Naomba jibu, kuuliza si ujinga.
Nafasi ya Godbless Lema ya mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini itajazwa lini? Kama tujuavyo Lema amekimbia nchi kwa madai ya changamoto za kisiasa na kuelekea Kenya kupata hifadhi. Naomba jibu, kuuliza si ujinga.
Zuwenna JF-Expert Member Joined Jun 2, 2015 Posts 2,133 Reaction score 3,758 Dec 9, 2020 #2 Chadema Saivi Ipo Ipo Siku zinakwenda
USSR JF-Expert Member Joined Jul 15, 2015 Posts 10,904 Reaction score 26,184 Dec 9, 2020 #3 Ataongoza akiwa ughaibuni maana hata lisu ni makamo mwenyekiti taifa na anaongoza akiwa Ulaya. Chadema ni mpango wa shetani kabisa.
Ataongoza akiwa ughaibuni maana hata lisu ni makamo mwenyekiti taifa na anaongoza akiwa Ulaya. Chadema ni mpango wa shetani kabisa.
Idugunde JF-Expert Member Joined May 21, 2020 Posts 6,404 Reaction score 6,969 Dec 9, 2020 #4 Acha uchokozi, tuna machungu ya kukosa ubunge, habari za Lema za nini?
M mtanzania1989 JF-Expert Member Joined May 20, 2010 Posts 4,068 Reaction score 6,758 Dec 9, 2020 #5 😂 Ile movie ya kuomba ukimbizi CD ili scratch episode ya pili tu, Lema anavuta pumzi tu ila muda si mrefu atarudi bongo tu na nyumbu watashangilia.
😂 Ile movie ya kuomba ukimbizi CD ili scratch episode ya pili tu, Lema anavuta pumzi tu ila muda si mrefu atarudi bongo tu na nyumbu watashangilia.
kipara kipya JF-Expert Member Joined May 2, 2016 Posts 18,833 Reaction score 23,276 Dec 9, 2020 #6 Ama kwa hakika tunakosa uchambuzi wa vifungu vya biblia!
Rhz4567 JF-Expert Member Joined Mar 16, 2018 Posts 4,893 Reaction score 6,599 Dec 9, 2020 #7 Kiherehere chako nini
M Matrix19 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2020 Posts 7,731 Reaction score 13,611 Dec 9, 2020 #8 Akihakikishiwa usalama wake kama wanaotembea na convoy jammer
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,197 Reaction score 128,160 Dec 9, 2020 #9 Masikini mataga mmejikuta mpo idle mmeachiwa uwanja peke yenu mnatafutiza wa kumshambulia hamumpati.
E Enzi na Enzi JF-Expert Member Joined May 29, 2020 Posts 888 Reaction score 821 Dec 9, 2020 #10 Huyo yupo mjini arusha hajakimbia nchi! Ni mbwembwe tu
msweety JF-Expert Member Joined Dec 5, 2014 Posts 667 Reaction score 1,556 Dec 9, 2020 #11 Ukisikia kuwashwa ndo Huku. Ya Chadema yanakuhusu nini?
kigogo warioba JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 6,048 Reaction score 9,398 Dec 9, 2020 #12 Unaulizia ya jirani ya kwenu mnayashindwa? Mbona huulizii nafasi iliokua ya poli poli mwenezi itajazwa na nani!? Mbona mnaweweseka?
Unaulizia ya jirani ya kwenu mnayashindwa? Mbona huulizii nafasi iliokua ya poli poli mwenezi itajazwa na nani!? Mbona mnaweweseka?
denooJ JF-Expert Member Joined Mar 31, 2020 Posts 18,509 Reaction score 68,228 Dec 9, 2020 #13 Wakiwepo mnawapa mikesi ya ajabu, wakiondoka mnawakumbuka, sijui mmelogwa na nani.
Magema Jr JF-Expert Member Joined Apr 22, 2020 Posts 1,299 Reaction score 1,197 Dec 9, 2020 #14 Chadema wapo wapo tu kama mijusi ya ndani (haina faida yoyote)
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Dec 9, 2020 #15 Tuwape muda... Cc: mahondaw
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 57,761 Reaction score 216,011 Dec 9, 2020 #16 Itajazwa siku Ndungai atakapogundua ana wabunge 19 batili.