Nafasi ya kazi anahitajika Fundi (Security Services Technician Trainee)

NAMRI

Member
Joined
Nov 20, 2018
Posts
42
Reaction score
21
Natafuta kijana aliye tayari kufanya kazi ya ufundi , Elimu kuanzia kidato cha nne, tutamfundisha namna ya kufanya kazi vizuri, awe mkazi wa Dar maeneo ya karibu na Kinondoni Studio, umri kuanzia miaka 18-24.

Awe mchapakazi , anayejituma, anayependa kujifunza, uelewa wa haraka , mwaminifu na mtu makini.

Huduma zetu ni CCTV CAMERA, ELECTRIC FENCE, ALARM SYSTEM, MOTOR GATE, VIDEO DOOR BELL, FINGERPRINT TIME ATTENDANCE , ACCESS CONTROL, NETWORKING, IT SUPPORT.

jina la ofisi: SKM QUALITY
Ofisi ipo: Kinondoni Studio

kijana anayeitaji nafasi iyo piga simu 0785960699
 
Sawa. Wengine tumeona taarifa hii usiku vp tunaweza kupiga simu hata usiku huu? Anyway mimi nipo tayari kabisa
 
Natafuta kijana aliye tayari kufanya kazi ya ufundi , Elimu kuanzia kidato cha nne, tutamfundisha namna ya kufanya kazi vizuri, awe mkazi wa Dar maeneo ya karibu na Kinondoni Studio, umri kuanzia miaka 18-24.

Awe mchapakazi , anayejituma, anayependa kujifunza, uelewa wa haraka , mwaminifu na mtu makini.

Huduma zetu ni CCTV CAMERA, ELECTRIC FENCE, ALARM SYSTEM, MOTOR GATE, VIDEO DOOR BELL, FINGERPRINT TIME ATTENDANCE , ACCESS CONTROL, NETWORKING, IT SUPPORT.

jina la ofisi: SKM QUALITY
Ofisi ipo: Kinondoni Studio

kijana anayeitaji nafasi iyo piga simu 0785960699
Nafasi bado ipo?
 
Back
Top Bottom