Habari natafuta mtu wa kuuza duka la vifaa vya kompyuta
Vigezo
Malipo ni maelewano
Mawasiliano
whatsapp:0717129334
call/sms: 0759278651
Vigezo
- Awe mkazi wa Arusha Mjini.
- Awe anajua kufanya troubleshooting za kompyuta.
- Awe anajua vizuri spea za kompyuta na desktop na jinsi ya kubadilisha.
- Awe anajua kutoa kauli nzuri kwa wateja( high capable in customer care).
- Awe anajua tecknolojia ya habari na mawasiliano vizuri.
- Awe anajua kutoa ushauri wa kitaalam kwa wateja
- Awe na elimu angalau cheti katika fani za TEHAMA
- Awe na jinsi ya kike.
- Umri miaka 18-25
Malipo ni maelewano
Mawasiliano
whatsapp:0717129334
call/sms: 0759278651